Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Masahihisho
Mstari 7:
 
Chakula kinaposafiri katika njia yake hufanyiwa mabadiliko ya kiumbo na mabadiliko ya kikemikali. Kila sehemu ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula ina kazi maalum.
Chakula cha mnyama au binadamu huweza kuwa cha [[kabohaidreti]]/[[wanga]], [[protini]], [[fatimafuta (chakula)|mafuta]] au mchanganyiko wa vyakulaviambato hivyo. Myeyuko wa makundi hayo ya vyakula hutokea katika sehemu mbalimbali za [[njia ya chakula]] kwa njia za kemikali.
 
 
Mstari 72:
==== Ini ====
 
[[Ini]] ni ogani kubwa kuliko ogani zingine katika mwili wa binadamu. Ini huweka akiba ya chakula kama vile aina za [[wanga]] iitwayo [[glaikojeni]], [[vitamin]] na [[chumvi za madini]]. Ini pia hutengeneza nyongo ambayo husaidia katika mmeng’enyo wa fatimafuta. Nyongo hufanya kazi zifuatazo:
* Huvunja vunja [[fati]]mafuta (''lipids'') na kuwa vipande vidogovidogo ambavyo huongeza nafasi kwa vimeng’enya vingine viweze kufanya kazi zao.
* Huweka hali ya alkali ambayo ni mazingira mazuri kwa vimeng’enya vya utumbo mwembamba kufanya kazi.
* Kuondoa asidi iliyo katika tuitumbo iliyoipata wakati chakula kilipo tumboni.
Mstari 81:
Misusumo inayotengenezwa na [[kongosho]] hufikia chakula kwa kutumia mfereji unaounganisha duodenum na kongosho. Misusumo ya kongosho huwa na vimeng’enya vifuatavyo
* ''Pancreatic amylase'': hii huvunjavunja [[wanga]]/[[kabohaidreti]] iliyobaki kwenda katika ''maltose''.
* ''Pancreatic Lipase'': humeng’enya vipande vidogovidogo vya fatimafuta na kuwa [[asidi ya shahamu|asidi za fatishahamu]] na glaiserini (''glycerol'').
* ''Trypsin'': Huvunja protini iliyobakia na kuwa [[peptides]]. Trypsin hutolewa katika namna ya ''trypsinogen''.
* ''Sodium Hydrogen Carbonate'' (NaHCO<sub>3</sub>): Huweka hali ya alkali ambayo ni mazingira mazuri kwa vimeng’enya vya utumbo mwembamba kufanya kazi.
Mstari 90:
* ''Erepsin'' (peptidase): Humeng’enya peptides na kuwa [[asidi za amino]].
* ''Maltase'': Huvunja ''maltose'' na kuwa ''glucose''.
* ''Lipase'': humeng’enya vipande vidogovidogo vya fatimafuta na kuwa asidi za fatishahamu na [[glaiserini]] (''glycerol'').
* ''Sucrase'': Huvunja ''sucrose'' na kuwa glucose.
 
Mchakato wa umeng’enyaji humalizikia kalizikia katika ileum. Ileum kwa ujumla ina kazi kuu mbili: Umeng’enyaji wa [[kabohaidreti]], [[protini]] na [[fati]]mafuta. Pia usharabiwaji wa chakula ambacho ni matokea ya umeng’enyaji kwenda katika [[mkondo wa damu]].
Kusharabiwa kwa chakula