Tofauti kati ya marekesbisho "Afya"

19 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
Masahihisho
(Masahihisho)
'''Afya''' ni hali ya kujisikia vizuri ki[[mwili]], ki[[akili]], ki[[roho]] na ki[[utu]] bila kusumbuliwa na [[ugonjwa]] wowote.
 
Afya ya [[binadamu]] itakuwa njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya. Hiyo inajumuisha mlo kamili, yaani [[chakula]] chenye [[virutubishi]] vyote, vikiwemo [[protini]], [[wanga]] na [[fatimafuta (chakula)|mafuta]] (hiyo iwe katika [[asilimia]] ndogo sana).
 
Pia anatakiwa awe msafi mwilini na mazingira yake, kama vile kwa kuoga na kusafisha mazingira yanayomzunguka. Mandhari yenye [[hewa]] safi pia husaidia katika kuhifadhi afya ya binadamu katika mwili na akili. <ref name="selfgrowth.com">{{cite web|url=http://www.selfgrowth.com/articles/how-to-improve-your-mind-and-body-with-fresh-air|title=Jinsi ya Kuimarisha Mwili na Akili kwa Hewa Safi}}</ref>
9,963

edits