Mpira wa miguu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 51:
 
Ni uamuzi wa [[kocha]] kuhusu idadi ya wachezaji wa kulinda lango, wa kiungo au wa mbele, ikitegemea mfumo uliotumika. Mfumo wa 4-4-2<ref>Mfumo wa 4-4-2, www.soccer-training-guide.com [http://www.soccer-training-guide.com/soccer-formations.html]</ref> umekuwa maarufu miongoni mwa timu nyingi. Mfumo huu hujumlisha walinzi wanne pamoja na mlinda lango, wachezaji wanne wa kiungo na wawili wa mbele.
mshambuluaji lazima akawa mtu mwenye ujuzi mkubwa na mwenye nguvu za kushambulia
 
== Utunukizi wa Alama ==
Anonymous user