Uzito : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|334x334px|[[Kifaa cha kupimia uzito]] '''Uzito''' wa kitu (Jinsi chembe zilivyo wekwa kwenye maada) ni kipimo cha n...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Spring balance - 001.jpg|thumb|334x334px|[[Kifaa]] cha kupimia uzito.]]
'''Uzito''' wa kitu (
Kwa [[lugha]] ya kawaida uzito unaweza kueleweka kirahisi pale unapo pimwa karibu na dunia au kwenye [[uso]] wa dunia.uzito kwa kawaida hupimwa kwa kutumia vizio vya masi kama vile [[kilogramu]],gramu n.k, lakini kizio chake ni [[newton]] (N).Kwa miaka mingi ya [[historia]] ya [[binadamu]] uzito umekuwa ukipimwa katika uso wa dunia,Uzito una[[uwiano]] sawa na masi.Kitu chochote chenye masi sawa kina uzito sawa.Imekuwa kawaida kuvitumia vitu hivyo viwili kila siku kwa pamoja. kwa kawaida inawachanganya watu wengi kuhusiana na vitu hivyi viwili, masi na uzito.▼
Kwa [[lugha]] ya kawaida, uzito unaweza kueleweka kirahisi pale unapopimwa karibu na dunia au kwenye [[uso]] wa dunia. Uzito kwa kawaida hupimwa kwa kutumia vizio vya masi kama vile [[kilogramu]], [[gramu]] n.k., lakini [[kizio]] chake ni [[Newton]] (kifupi "N").
▲
{{mbegu-fizikia}}
[[Jamii:Fizikia]]
|