Zakaria Kibona : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Minor fix using AWB
No edit summary
Mstari 21:
| ntupdate = [[14 Machi]] [[2008]]
}}
''' Zakaria Kibona''' (amezaliwa tar. [[14 Machi]] [[1990]] mjini [[Dar es salaamSalaam]]) ni [[mchezaji]] wa [[mpira wa miguu]] kutoka nchini [[Tanzania]], ambaye kwa sasa anaichezea [[klabu]] ya [[Atlantis FC]] inayoshiriki katika ligi ya pili ya [[Ufini]] katika [[mji mkuu]] wa [[Helsinki]] nchini [[Ufini]].
 
==Kuanza kwake mpira Ufini==
Mstari 30:
 
==Uraia wake==
Zakariba Kibona anauraiaana uraia wa nchi ya [[Tanzania]] na [[Ufini]] na alipata uraia wa [[Ufini]] kwani mchezaji huyo alienda [[Ulaya]] akiwa na umri mdogo nakukaa huko muda mrefu, na sio yeye tu ambae alichukua uraia katika wachezaji mpira kuna wachezaji mashuhuri ambao walichukua uraia kutokana na maslahi yao fulani kama kulipa ushuru au mengine na baadhi yao ni kama vile [[Ronaldinho]], [[Samuel Eto'o]] na wengine pia.
 
==Zawadi==
Kuchukua ubingwa pindi alipokua akichezea Atlantis FC ya vijana mwaka 2006 katika mashindano ya vijana.
 
==Viongo vya Njenje==
* [http://www.atlantisfc.fi/fudis/akatemia/14d.htm Kuhusu mchezaji katika klabu yake na baadhi ya picha zake]
* [http://www.playerhistory.com/player/129429/ Mchezaji huyu katika tovuti ya Playerhistory]
Mstari 41:
{{DEFAULTSORT:Kibona, Zakaria}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1990]]
[[Jamii:Wachezaji Mpirampira wa Tanzania]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Wachezaji Mpira wa Afrika ya Mashariki]]