Mfumo wa Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 115:
 
==Sayari za nyongeza?==
Katika miaka iliyopita wanaastronomia wamejadili uwezekano wa kuwepo kwa sayari za ziada katika umbali mkubwa. Imetambuliwa ya kwamba muundo wa mfumo wa jua ni kubwa kuliko wataalamu wa kale walifikiri.<ref>[http://iopscience.iop.org/article/10.1088/0004-637X/781/1/4/meta K L Luhmann: A SEARCH FOR A DISTANT COMPANION TO THE SUN WITH THE WIDE-FIELD INFRARED SURVEY EXPLORER], tovuti ya The Astrophysical Journal, Volume 781, Number 1</ref>
 
Tangu kutambuliwa wa [[ukanda wa Kuiper]] ambamo Pluto ni sehemu tu inajulikana ya kwamba kuna magimba ya angani mengi yasiyoonekana kwa kirahisi kwa sababu yanapokea na kuakisia nuru kidogo sana kutoka jua.
 
Kuhusu magimba ya angani yaliyombali zaidi kuliko ukanda wa Kuiper hakuna uhakika bado, Lakini tangu mwaka 2012 vipimo vyipya vilisababisha kutokea kwa nadharia tele kuhusu [[Sayari Tisa|sayari ya tisa]] katika umbali mkubwa sana ambyo haikutazamiwa bado.<ref>[https://arxiv.org/PS_cache/arxiv/pdf/1004/1004.4584v1.pdf Persistent Evidence of a Jovian Mass Solar Companion in the Oort Cloud; John J. Matese and Daniel P. Whitmire]</ref>
 
Mwaka 2017 [[kiolwa cha anga]] kilitazamiwa kilichotoka nje ya mfumo wa jua letu. Kiolwa hiki kilichoitwa [[ʻOumuamua]] kilifika kwa njia isiyolingana na bapa la sayari za mfumo wa jua tena kwa kasi kubwa mno hivyo ilionekana si sehemu ya mfumo wetu.
 
==Mfumo wa jiosentriki==
Ulikuwa mfumo wa sayari, jua, nyota na magimba mengine angani ambao zamani ulipendekeza kwamba vyote vinazunguka dunia, ambayo ndiyo ilichukuliwa kuwa [[kitovu]] cha [[ulimwengu]].
 
==Kutokea kwa Mfumo wa Jua==