Mfumo wa Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Solar sys.jpg|right|350px|thumb|Jua letu na sayari zake.]][[File:Sayari za Jua - mlingano ukubwa.png|350px|thumb|Sayari nne kubwa ziliundwa hasa na gesi, nyingine ni sayari ndogo kama dunia yetu za mwamba.<ref>Hand, Eric (January 20, 2016).</ref>]]
'''Mfumo wa jua''' (''[[:en:solar system]]'') ni utaratibu wa [[jua]] letu, [[sayari]] na [[sayari kibete]] zinazolizunguka pamoja na [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] yao, [[asteroidi]], [[meteoridi]], [[kometi]] na [[vumbi ya angani]], vyote vikishikwa na [[nguvu mvutano]] waya jua.
 
[[Utaalamu]] kuhusu mfumo wa jua hujadiliwa katika [[fani]] ya [[astronomia]].
Mstari 7:
Karibu [[masi]] yote ni ya jua lenyewe, likiwa na [[asilimia]] 99.86 za masi ya mfumo wake. Kwa hiyo sayari zote kwa pamoja na asteroidi ni asilimia 0.14 tu.
 
[[Umbali]] kati ya jua na [[dunia]] yetu ni takriban [[kilomita]] [[milioni]] 150[[mia moja miana hamsini|150]]. Umbali huu huitwa „[[kizio astronomia]]“ ([[:en:astronomical unit]] AU). Sayari ya mbali zaidi ni [[Neptuni]] ambayo ina umbali wa vizio astronomia 30 [[thelathini|30]] kutoka jua. Magimba ya nje sana yanazunguka jua kwa umbali wa vizio astronomia 50 [[hamsini|50]] au zaidi.
 
Pamoja na sayari kuna [[idadi]] kubwa ya [[violwa]] vingine. Vingi ni vipande vidogo vya [[mwamba]] vinavyokusanyika katika kanda 3 zenye [[umbo]] la mwirino ambazo ni [[ukanda wa asteroidi]], [[ukanda wa Kuiper]] na [[wingu la Oort]].
Mstari 18:
 
== Sayari za jua letu ==
Kuna magimba 8 yanayozunguka jua letu na kuitwa sayari. Hadi [[Zohali]] (ing. Saturn) zinaonekana kwa macho na tangu zamani zilijulikana kwa majina yao. Sayari ya [[saba]] na [[nane]] ziligunduliwa tu tangu kupatikana kwa [[darubini]]. Hadi mwaka [[2006]] [[Pluto]] iliyopo nje yakuliko Neptuni ilihesabiwa kuwa sayari, lakini tangu azimio la [[Umoja wa Wanastronomia]] Pluto inaitwa sasa „sayari kibete“ pamoja na nyingine, si sayari kamili tena.
 
Sayari ambazo zipo katika mfumo wa jua ni kama zifuatazo:
Mstari 122:
 
Mwaka 2017 [[kiolwa cha anga]] kilitazamiwa kilichotoka nje ya mfumo wa jua letu. Kiolwa hiki kilichoitwa [[ʻOumuamua]] kilifika kwa njia isiyolingana na bapa la sayari za mfumo wa jua tena kwa kasi kubwa mno hivyo ilionekana si sehemu ya mfumo wetu.
 
 
==Kutokea kwa Mfumo wa Jua==
[[Picha:Solarnebula.jpg|thumb|300px|Picha yaJinsi msanii aliyejaribualivyojaribu kuchora hali ya diski asilia wakati Jua lilizaliwalilipozaliwa.]]
[[Picha:Nguvu zinazotawala umbo la nyota.png|300px|thumb|Uwiano baina ya graviti na shinikizo la mnururisho unafanya nyota kuwa thabiti.]]
Mfumo wa Jua ulianza kutokea muda mrefu sana na wataalamu wanaendelea kujadili nadharia zinazoeleza tabia zake kulingana na kanuni za fizikia.
 
Nadharia inayokubaliwa na wataalamu wengi ni hivi<ref>Linganisha [http://atropos.as.arizona.edu/aiz/teaching/nats102/mario/solar_system.html Solar System], tovuti ya Chuo Kikuu cha Arizona, idara ya astronomia</ref>:
*takriban miaka [[bilioni]] 4.5 iliyopita kulikuwa na [[wingu la molekuli|wingu kubwa la molekuli]] lililozunguka kitovu cha galaksi yetu yaani [[Njia Nyeupe]]. Wingu hilihilo lilifanyalilifanywa hasa na [[hidrojeni]] na [[heli]] (zaidi ya asilimia 99), pamoja na viwango vidogo vya [[elementi]] nzito zaidi. Hidrojeni na heli zilitokea katika [[mlipuko mkuu]] ulioanzishauliosababisha ulimwengu wetu. Elementi nzito zilitokea katika nyota zilizowahi kutangulia na kulipuka kabla ya kuzaliwa kwa Jua letu na kusambaza mata yaoyake kama vumbi ya angani. Ndani ya wingu kubwa kulikuwa na sehemu ambako molekuli ziliongezeka na hivyo kuwa na [[graviti]] iliyoendelea kuvuta mata nyingine, kuongeza tena graviti ya sehemu hizi kadrikadiri zilivyopokea mata tena. Miendo hiiihiyo ndani ya wingu labda ilianzishwa na mishtuko ya [[supanova]] isiyo mbali lakini hii ni nadhariatetenadharia tete tu hadi sasa.
*Sehemu moja ya wingu kubwa ambako molekuli zilianza kukusanyika iliendelea kuzunguka kwenye [[mhimili]] wake na kuongeza mzunguko huuhuo pamoja na ongezeko la graviti. HiiHiyo graviti iliendelea kuvuta molekuli katika mazingira mapana na sasahadi ilitokeaikatokea [[diski ya uongezekaji]] ([[ing]]. ''accretion disk''). HapaHapo masi kubwa inaelekea kukusanyika katika kitovu cha diski ambako shinikizo na [[jotoridi]] zinaanza kupanda. Kadri jinsiKadiri atomi zinakazwazinavyokazwa na graviti na jotoridi huwa juu mchakato ya [[myeyungano wa kinyuklia]] unaanza katika kitovu na hapa hapo nyota changa inatokea.
*[[Myeyungano nyukliawa kinyuklia]] unasababisha [[mnururisho]] na mnururisho huuhuo ni kani inayozuia kukaza zaidi ya nyota, nyota inaingia katika hali thabiti baina ya graviti inayotaka kukaza mata yake kwenye kitovu na shinikizo la mnururisho linaloelekea kinyume.
*ndaniNdani ya mata iliyobaki kwenye diski nje ya kiini na nyota changa kuna tena sehemu ambako molekuli zinakazana na kuunda [[viini vya sayari]] (ing. ''planetesimal''). Viini vikubwa zaidi vilivuta tena viini vidogo na hivyo idadi vya viini hivihivyo ilipungua ilhali viini vilikua na kuongeza masi yaoyake na hapa nindicho chanzo cha sayari zetu.
*tabiaTabia ya sayari ilikuwa tofauti kutegemeana na umbali wa Jua. Elementi nyzitonzito zaidi zilikusanyika karibu na Jua. Kinyume chake, elementi nyepesi zilisukumwa na [[upepo wa Jua]] zilianza kukusaynikakukusanyika kwkwa aumbaliumbali mkubwa zaidi. Kwa hiyo sayari zilizo karibu na Jua kama Utaridi, Zuhura, Dunia na Mirihi ni sayari za miamba, zinafanywa na elementi nzito. Sayari zilizo mbali na Jua kama Mshtarii, Zohali, Uranusi na Neptuni ni sayari za gesi, zinafanywa na elementi nyepesi.
 
==Marejeo==