Popocatepetl : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Popocatépetl sunrise.jpg|thumb|250px|Mlima Popocatepetl.]]
'''Popocatrpetl''' ni [[volkeno]] hai pia [[mlima]] mkubwa wa pili nchini [[Meksiko]].
 
Kwa [[lugha]] ya [[Kiazteki]] "Popocatepetl" inamaanisha "mlima unaotoa moshi".
 
Ina [[kimo]] cha [[mita]] 5,462 juu ya [[UB]], hivyo ni volkeno kubwa ya pili katika [[Amerika ya Kaskazini]].
 
Safari iliyopita ililipuka tarehe [[21 Desemba]] [[1994]] baada ya kukaa kimya kwa miaka 50.
 
==Tazama pia==
* [[Orodha ya milima]]
{{mbegu-jio-Mexiko}}