Anonymous user
Mpira wa miguu : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit |
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
||
Mstari 39:
== Uwanja ==
[[Picha:Uwanja wa mpira maelezo.png|300px|thumbnail|right|Vipimo vya uwanja wa soka.]]
Uwanja una umbo la [[mstatili]]. Hakuna [[kipimo]] kamili, ila kanuni zinasema [[urefu]] ni baina ya [[mita]] 90 na 120, [[upana]] baina ya mita 45 na 90. Kwa
[[Goli]] ziko kwenye pande fupi zaidi. Kuna [[alama]] ya [[bendera]] kwenye kona za uwanja. Mwaka [[2008]] IFAB ilijaribu kusanifisha vipimo kuwa mita 105 kwa 68, lakini kanuni hii ilisimamishwa baadaye.
Mstari ni mpaka wa uwanja. Wakati mpira uko kwenye mstari hata kwa kiasi kidogo unahesabiwa bado uko ndani ya uwanja. Kwa goli kukubaliwa sharti mpira uwe umepita mstari wa goli kabisa.
== Mpangilio wa wachezaji ==
|