Kiwango utatu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Kiwango utatu''' ni [[kiwango]] cha [[maji]] au [[dutu]] nyingine inapoweza kutokea mahali pamoja katika hali [[mango]], [[kiowevu]] na [[gesi]] (kwa mfano wa [[maji]]: [[barafu]], [[majimaji]] na [[mvuke]]). Kiwango hiki kinategemea [[halijoto]] na [[shindikizo]].
 
Kiwango utatu cha maji ni kiwango cha kukadiria [[skeli]] ya [[selsiasi]] au [[sentigredi]] (273.16 [[K]] au 0.01 [[°C]]).
 
{{mbegu-sayansi}}
 
{{Category:Vipimo}}