Mpira wa miguu : Tofauti kati ya masahihisho

d
Masahihisho aliyefanya 196.249.98.175 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na 196.96.96.102
Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
d Masahihisho aliyefanya 196.249.98.175 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na 196.96.96.102
Tag: Rollback
Mstari 39:
== Uwanja ==
[[Picha:Uwanja wa mpira maelezo.png|300px|thumbnail|right|Vipimo vya uwanja wa soka.]]
Uwanja una umbo la [[mstatili]]. Hakuna [[kipimo]] kamili, ila kanuni zinasema [[urefu]] ni baina ya [[mita]] 90 na 120, [[upana]] baina ya mita 45 na 90. Kwa mic hhezomichezo ya kimataifa urefu uwe baina ya mita 100 - 110 na upana baina ya mita 64 na 75.
 
[[Goli]] ziko kwenye pande fupi zaidi. Kuna [[alama]] ya [[bendera]] kwenye kona za uwanja. Mwaka [[2008]] IFAB ilijaribu kusanifisha vipimo kuwa mita 105 kwa 68, lakini kanuni hii ilisimamishwa baadaye.
 
Mstari ni mpaka wa uwanja. Wakati mpira uko kwenye mstari hata kwa kiasi kidogo unahesabiwa bado uko ndani ya uwanja. Kwa goli kukubaliwa sharti mpira uwe umepita mstari wa goli kabisa.
 
== Mpangilio wa wachezaji ==