Tofauti kati ya marekesbisho "Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita"

no edit summary
No edit summary
 
:Kumbe! Historia ya ajabu. Sijawahi kuona namna kama hii, hasa kwa vipengele vya ndani alivyoandika. Tena, mtandaoni haipo (nimetafuta majina mbalimbali aliyoyataja, pia sentensi kadhaa - hazipo kabisa mtandaoni). Labda ananakili kitabu, lakini nadhani ameandika mwenyewe. Shida ni asili yake. Haiwezekani kutolea utafiti wa binafsi katika wikipedia. Labda insha yake kuhusu historia ya Wangoreme ihifadhiwe kama kitabu katika wikibooks - angalia https://sw.wikibooks.org/wiki/Mwanzo. --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita#top|majadiliano]])''' 15:10, 10 Novemba 2017 (UTC)
 
==Karibu tena!==
Nilikuwa najiuliza vipi afya yako? Natumaini umetengemaa baada ya upasuaji. Bwana akujalie amani! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 08:40, 15 Machi 2018 (UTC)