Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 309:
==Karibu tena!==
Nilikuwa najiuliza vipi afya yako? Natumaini umetengemaa baada ya upasuaji. Bwana akujalie amani! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 08:40, 15 Machi 2018 (UTC)
 
:Asante kwa kunikumbuka. Namshukuru Mungu kwa kunilinda na kunirudisha afya. Hatua kwa hatua! :) Nimeweza kurudi kazini. Bado kuna mambo mengi yanayonizuilia kuchangia hapa nilivyokuwa nimezoea. Moyoni lakini tupo pamoja! Wasalaam, --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita#top|majadiliano]])''' 06:39, 16 Machi 2018 (UTC)