Umma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kuanzisha ukurasa wa umma
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Umma''' ni jumla ya [[watu]] wote katika kikundi, [[jamii]] au nchi.
Umma ni jumla ya watu wote katika kikundi, jamii au nchi. Kisosholojia, umma ni watu walio na nia sawa katika jambo fulani kama vile, wasomaji wa gazeti, watazamaji wa televisheni au kandanda ama watumiaji wa mtandao. Katika sayansi ya kisiasa, umma ni wananchi wakilinganishwa na serikali ambayo hudhaniwa kuwa mtu. Serikali humiliki mali (mali ya umma) kwa niaba ya wananchi wake. Vilevile, huduma zozote zinazotolewa na serikali husemekana kuwa za umma kwa sababu umma (wananchi) ndio huigharamia serikali kwa wafanyakazi, kodi, ushuru, n.k. Kwa mfano, shule za umma.<ref>"[https://thelawdictionary.org/public/ What is PUBLIC?]", The Law Dictionary, ilipatikana 19-03-2018</ref>
 
[[Sosholojia|Kisosholojia]], umma ni watu walio na nia sawa katika jambo fulani kama vile, wasomaji wa [[gazeti]], watazamaji wa [[televisheni]] au [[kandanda]] ama watumiaji wa [[mtandao]].
 
Umma ni jumla ya watu wote katika kikundi, jamii au nchi. Kisosholojia, umma ni watu walio na nia sawa katika jambo fulani kama vile, wasomaji wa gazeti, watazamaji wa televisheni au kandanda ama watumiaji wa mtandao. Katika [[sayansi]] ya kisiasa[[siasa]], umma ni wananchi wakilinganishwa na [[serikali]] ambayo hudhaniwa kuwa mtu. Serikali humiliki [[mali]] ([[mali ya umma]]) kwa niaba ya wananchi wake. Vilevile, [[huduma]] zozote zinazotolewa na serikali husemekana kuwa za umma kwa sababu umma (wananchi) ndio huigharamia serikali kwa [[wafanyakazi]], [[kodi]], [[ushuru]], n.k. Kwa mfano, [[shule]] za umma.<ref>"[https://thelawdictionary.org/public/ What is PUBLIC?]", The Law Dictionary, ilipatikana 19-03-2018</ref>
 
== Tanbihi ==
<references />
 
{{mbegu-sheria}}
 
[[Jamii:Elimu jamii]]
[[Jamii:Siasa]]
[[Jamii:Sheria]]