Mitindo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|''Kufuata Fasheni'' ([[1794), katuni ya James Gillray.]] '''Mitindo''' au fasheni (k...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:1796-short-bodied-gillray-fashion-caricature.jpg|thumb|''Kufuata Fasheni'' ([[1794]]), [[katuni]] ya [[James Gillray]].]]
'''Mitindo''' (au [[fasheni]] (kutoka [[Kiingereza]] ''fashion'') ni [[njia]] ya [[mtu]], kundi au [[jamii]] kufanya au kuwasilisha [[jambo]] kwa namna maalumu. Kwa mfano kufanya jambo [[harakaharaka]], [[polepole]], kwa [[taratibu]] fulanifulani na kadhalika. Halafu hiyo namna maalumimaalumu iliyoeneainaenea katika [[jamii]], hasa upande wa [[mavazi]]. Mitindo inabadilikabadilika kadiri ya [[mahali]] na [[wakati|nyakati]].<ref>Fashion (2012, March 29). Wwd. (n.d.). Retrieved from http://www.wwd.com/fashion-news.</ref><ref>Undressing Cinema: Clothing and identity in the movies – Page 196, Stella Bruzzi – 2012</ref><ref>For a discussion of the use of the terms "fashion", "dress", "clothing", and "costume" by professionals in various disciplines, see Valerie Cumming, ''Understanding Fashion History'', "Introduction", Costume & Fashion Press, 2004, ISBN 0-89676-253-X</ref>
 
Kuna watu maalumu ambao wanabuni mitindo mipya, wanaionyesha na kuisambaza, mara nyingi kwa faida kubwa [[uchumi|kiuchumi]].
Mstari 30:
*{{dmoz|Arts/Design/Fashion/}}
 
{{mbegu-utamaduni}}
 
[[Category:Utamaduni| ]]