Wawanji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Mtongori (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Magdalena William
No edit summary
Mstari 16:
 
Mazao maarufu yanayostawishwa katika bonde hili ni kama: [[mahindi]], [[ngano]], [[maharagwe]], [[njegere]], [[viazi mviringo]], na kwa kiasi kidogo [[mtama]] na [[ulezi]]. Lakini pia kuna [[pareto]] kama [[zao la biashara]].
 
IMANI
idadi kubwa ya wawanji ni wakristo,wanamwamini yesu kristo, pia waislamu wapo lakini sio kwa idadi kubwa, kila watu 10 muislamu ni mmoja au hakuna kabsa.hii inajidhihirisha wazi kutokana kuwepo kwa makanisa mengi kuliko misikiti, mfano mji wa matamba una msikiti mmoja ambao unafanana na nyumba ya mtu ya kuishi eneo la mahanji, lakin makanisa ni mengi mno yapo kila kitongoji.
 
pia wawanji wanasadikika kuwa ni washirikina toka enzi, ushirikina wao ni wa kipekee unatofautiana na makabila yote tanzania, unajulikana kama WANYAMBUDA ushirikina huu umesambaa na unakua na kuenea kwa kasi zaidi miaka hii ya 2010, zamani walikuwa ni wazee lakini miaka hii mpaka vijana wanaomaliza elimu za sekondari wanapewa aina hii ya ushirikina. kazi yao kubwa ni kula watu, yaani wanaweza wakakuua kiuchawi na ukaendelea kusurvive hata zaidi ya wiki huku wakiwa tayari wameshakula vitu vya ndani kama ulimi, utumbo na maini. hivo mgonjwa anaweza akalazwa hospitali lakin kumbe ashaliwa viungo vyake vya ndani.wanasayansi ya ajabu ambayo huwezi kuona hata walipotolea hiyo nyama ila kuna wazee wataalamu ndio hutambua hilo mapema na wanawajua mpaka waliohusika. uchawi huu huenezwa kutoka familia moja kwenda ingine kwa njia ya pombe kwe vilabu vya kienyeji. hata kama ulikuwa mtu mwema ila kama ni mnywaji wa pombe za kienyeji unakuwa kwe hatari ya kupata huo uchawi UNYAMBUDA .. lakini hawa wanyambuda hawawezi kumuua mgeni au mtu wasiemjua, lakini wanachokifanya ni kila mshirika ambae yupo kwe hicho kikundi cha unyambuda anatoa sadaka ya mtu ampendae kutoka katika familia yake, anaweza kumtoa mtoto wake mpendwa,au mama ake, au mke wake, au hata mjomba na shangazi ili mradi ana undugu nae,kikundi kinapendekeza mtu ambaye ni mpendwa kwako, ikitokea unashindwa kutoa sadaka basi kikundi kinapendekeza kukuua mwenyewe,na lazima uuawawe tu.
 
hii hali imepelekea kuhama kwa kwa vijana pindi tu wanapomaliza elimu zao za sekondari, kwani kijana aliesoma na anaeonekana ni mxaada mkubwa kwa familia yake huyo ndie kipaumbele kikubwa kutolewa sadaka na wazazi wao au ndugu zake, hii imepelekea vijana wengi walihamia mjini na waliofanikiwa kimaisha wanashindwa kutoa msaada nyumbani kwao au hata kuwajengea wazazi wao nyumba nzuri, wakihofiwa kuuwawa either mzazi au mtoto mwenyewe.
kwa jina lingine tunaita freemason ya uwanji
 
 
==Tanbihi==