Wawanji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17:
Mazao maarufu yanayostawishwa katika bonde hili ni kama: [[mahindi]], [[ngano]], [[maharagwe]], [[njegere]], [[viazi mviringo]], na kwa kiasi kidogo [[mtama]] na [[ulezi]]. Lakini pia kuna [[pareto]] kama [[zao la biashara]].
 
==Dini na ushirikina==
IMANI
idadi[[Idadi]] kubwa ya wawanjiWawanji ni wakristo[[Wakristo]], wanamwamini yesu[[Yesu kristo,Kristo]]. piaPia waislamu[[Waislamu]] wapo, lakini siosi kwa idadi kubwa,: kila watu 10 muislamuMwislamu ni mmoja au hakuna kabsakabisa.hii Hii inajidhihirisha wazi kutokana na kuwepo kwa [[Kanisa|makanisa]] mengi kuliko [[misikiti]], mfano [[mji]] wa matamba[[Matamba]] una msikiti mmoja ambao unafanana na [[nyumba]] ya mtu ya kuishi eneo la mahanjiMahanji, lakinlakini makanisa ni mengi mno, yapo kila [[kitongoji]].
 
piaPia wawanjiWawanji wanasadikika kuwa ni [[Ushirikina|washirikina]] toka enzi,; ushirikina wao ni wa kipekeepekee, unatofautiana na makabila yote tanzaniaTanzania, na unajulikana kama WANYAMBUDAWanyambuda. ushirikinaUshirikina huuhuo umesambaa na unakua na kuenea kwa kasi zaidi [[miaka hii ya 2010,]]. zamaniZamani walikuwa ni [[wazee]] lakini miaka hii mpaka [[vijana]] wanaomaliza [[elimu]] za [[sekondari]] wanapewa aina hii ya ushirikina. kazi[[Kazi]] yao kubwa ni kula watu, yaani wanaamini kuwa wanaweza wakakuua [[Uchawi|kiuchawi]] na ukaendelea kusurvivekuishi hata zaidi ya [[wiki]], huku wakiwa tayari wameshakula vitu vya ndani kama [[ulimi]], [[utumbo]] na maini[[ini]]. hivoHivyo [[mgonjwa]] anaweza akalazwa [[hospitali lakin]], kumbe ashaliwaameshaliwa [[kiungo|viungo]] vyake vya ndani.wanasayansi ya ajabu ambayo huwezi kuona hata walipotolea hiyo nyama ila kuna wazee wataalamu ndio hutambua hilo mapema na wanawajua mpaka waliohusika. uchawi huu huenezwa kutoka familia moja kwenda ingine kwa njia ya pombe kwe vilabu vya kienyeji. hata kama ulikuwa mtu mwema ila kama ni mnywaji wa pombe za kienyeji unakuwa kwe hatari ya kupata huo uchawi UNYAMBUDA .. lakini hawa wanyambuda hawawezi kumuua mgeni au mtu wasiemjua, lakini wanachokifanya ni kila mshirika ambae yupo kwe hicho kikundi cha unyambuda anatoa sadaka ya mtu ampendae kutoka katika familia yake, anaweza kumtoa mtoto wake mpendwa,au mama ake, au mke wake, au hata mjomba na shangazi ili mradi ana undugu nae,kikundi kinapendekeza mtu ambaye ni mpendwa kwako, ikitokea unashindwa kutoa sadaka basi kikundi kinapendekeza kukuua mwenyewe,na lazima uuawawe tu.
 
Wana [[sayansi]] ya ajabu ambayo huwezi kuona hata walipotolea hiyo [[nyama]] ila kuna wazee [[wataalamu]] ndio hutambua hilo mapema na wanawajua mpaka waliohusika. Uchawi huo huenezwa kutoka [[familia]] moja kwenda nyingine kwa njia ya [[pombe]] kwenye [[Kilabu|vilabu]] vya kienyeji. Hata kama ulikuwa mtu mwema, kama ni mnywaji wa pombe za kienyeji unakuwa kwenye hatari ya kupata huo uchawi.
hii hali imepelekea kuhama kwa kwa vijana pindi tu wanapomaliza elimu zao za sekondari, kwani kijana aliesoma na anaeonekana ni mxaada mkubwa kwa familia yake huyo ndie kipaumbele kikubwa kutolewa sadaka na wazazi wao au ndugu zake, hii imepelekea vijana wengi walihamia mjini na waliofanikiwa kimaisha wanashindwa kutoa msaada nyumbani kwao au hata kuwajengea wazazi wao nyumba nzuri, wakihofiwa kuuwawa either mzazi au mtoto mwenyewe.
kwa jina lingine tunaita freemason ya uwanji
 
Lakini hawa Wanyambuda hawawezi kumuua mgeni au mtu wasiyemjua, ila wanachokifanya ni kila mshirika ambaye yupo kwenye hicho kikundi cha Unyambuda anatoa [[sadaka]] ya mtu ampendaye kutoka katika familia yake: anaweza kumtoa [[mtoto]] wake mpendwa, au [[mama]] yake, au [[mke]] wake, au hata [[mjomba]] na [[shangazi]] ili mradi ana [[undugu]] naye. Kikundi kinapendekeza mtu ambaye ni mpendwa kwako, ikitokea unashindwa kutoa sadaka, basi kikundi kinapendekeza kukuua mwenyewe, na lazima uawe tu.
 
hiiHii hali imepelekea kuhama kwa kwa vijana pindi tu wanapomaliza elimu zao za sekondari, kwani kijana aliesomaaliYesoma na anaeonekanaanaYeonekana ni mxaadamsaada mkubwa kwa familia yake, huyo ndiendiye kipaumbele kikubwa kutolewa sadaka na [[wazazi]] waowake au [[ndugu]] zake,. hiiHii imepelekea vijana wengi walihamiakuhamia mjini na waliofanikiwa kimaisha wanashindwa kutoa msaada nyumbani kwao au hata kuwajengea wazazi wao nyumba nzuri, wakihofiwa kuuwawakuuawa eitherna mzazi au mtoto mwenyewe.
Kwa jina lingine wanaitwa [[Freemasons]] wa Uwanji.
 
==Tanbihi==
Line 34 ⟶ 37:
 
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
[[jamii:makala yenye mashaka]]