Wawanji : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Wawanji''' ni [[kabila]] kutoka [[wilaya]] ya [[Makete]], katika
Mwaka [[2003]] [[idadi]] ya Wawanji ilikadiriwa kuwa 28,000<ref>[http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=wbi Vwanji. A language of Tanzania.]</ref>. [[Lugha]] yao ni [[Kiwanji]].
Wawanji ni majirani kabisa wa kabila la [[Wakinga]]. Wawanji na Wakinga wamepakanishwa na [[hifadhi ya Kitulo]]. [[Asilimia]] kubwa ya Wawanji wapo sehemu za [[Ikuwo]] na [[Matamba]], maarufu
==Historia ya Wawanji==
|