Spika (muziki) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Spika ya muziki ni chombo kinachobatilisha kawi za audio zilizo katika mfumo wa eletroniki na kuzifanya ziwe sauti. Spika zinazotumika siku hizi zilivumbuliwa n...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Spika ya muziki''' (kutoka [[Kiingereza]]: [[:en:Loudspeaker|Loudspeaker]]) ni [[chombo]] kinachobatilishakinachobadilisha kawi za audio zilizo katika mfumo wa eletroniki[[elektroniki]] na kuzifanya ziwe sauti. Spika zinazotumika siku hizi zilivumbuliwa na Edward Kellog na Chester Rice mwakani 1925. Spika hufanya kazi kama [[kipaza sauti]]. Tofauti ni kuwa kipaza sauti hubatilisha sauti kuwa audio zilizo kwa mfumo wa kieletroniki ilhali spika nazo hubadilisha kawi hii kuwa sauti.
 
Spika zinazotumika siku hizi zilivumbuliwa na [[Edward Kellog]] na [[Chester Rice]] [[mwaka]] [[1925]].
Kwa kawaida, spika huwekwa katika kichumba au kabineti ambayo kwa mara nyingi huwa kwa umbo la [[mstatili]] au [[mraba]]. Kabineti ya spika huenda ikatengenezwa kwa plastiki au mbao. Hili huathiri jinsi sauti itakavyokuwa.
 
Spika hufanya kazi kama [[kipazasauti]]. Tofauti ni kuwa kipazasauti hubadilisha sauti kuwa audio zilizo kwa mfumo wa kielektroniki ilhali spika nazo hubadilisha kawi hii kuwa sauti.
 
Kwa kawaida, spika huwekwa katika kichumba[[chumba]] au kabineti ambayo kwa mara nyingi huwa kwana [[umbo]] la [[mstatili]] au [[mraba]]. Kabineti ya spika huenda ikatengenezwa kwa [[plastiki]] au [[mbao]]. Hili huathiri jinsi sauti itakavyokuwa.
 
== Historia ==
[[Johann Phillip Reis]] aliweka spika ya kieletronikikielektroniki kwa [[simu]] yake mwakanimwaka [[1861]]. Spika hii iliweza kutoa sauti nzuri na wazi iliyosikika vizuri na kueleweka.

[[Alexander Graham Bell]], mzinduzi wa simu ya kwanza aliidhinisha spika ya [[simu]] yake mwakanimwaka [[1876]]. Hili lilifuatwa na uzinduzi mwingine bora na [[Ernst Siemens]].
 
== Matumizi ya spika leo ==
Spika hutumika [[Nyumba|nyumbani]] ikiambatanishwa na [[redio]] au [[runinga]] ili kutoa sauti nzuri ya [[muziki]]. Spika pia hupatikana katika [[Gari|magari]].

Kwenye [[sherehe]], mikutano au kwenye mihadhara, spika huambatanishwa na kipaza sautikipazasauti ili (spika)anayeongea aweze kufikia watu wote na [[ujumbe]] wake uwapate.
 
== Tanbihi ==
Tazama [[spika]] kwa maelezo kuhusu mkubwa wa [[bunge]] anayeendelezaanayeendesha mijadala.
 
== Viungo vya Njenje ==
* [https://www.toolsngadgets.com/cars/best-car-speakers/ Best Car Speakers]
 
{{tech-stub}}
== Viungo vya Nje ==
[[:en:Loudspeaker|Loudspeakers]]
 
[[Jamii:Vifaa]]
[https://www.toolsngadgets.com/cars/best-car-speakers/ Best Car Speakers]