Wizara : Tofauti kati ya masahihisho

45 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
'''Wizara''' ni sehemu ya [[serikali]] inayoshughulikia sehemu maalumu ya [[utawala]] wa nchi ikiongozwa na [[waziri]].<ref>"[https://sw.oxforddictionaries.com/ufafanuzi/wizara Wizara]", Kamusi ya Oxford</ref>. Kila nchi ina idadi na majina tofauti ya wizara zake.
 
== Mifano ==
 
=== Kenya ===
Wizara huwa na idara tofauti ambazo huongozwa na [[katibu mkuu]]. Wizara ya Ulinzi na ya Mambo ya Ndani na Uratibu wa Kitaifa ziko chini ya Ofisi ya Rais wa Kenya<ref>"[https://www.businessdailyafrica.com/news/539546-1751972-c5xvus/index.html Uhuru unveils govt structure of 18 ministries]", Huduma ya Utangazaji wa Urais, ilipatikana 21-03-2018</ref>.
 
== Tanbihi ==
<references />
 
{{mbegu-siasa}}
 
[[Jamii:Serikali]]