Luteni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Luteni (Tanzania Army OF-01A).png|200px|thumb|[[Alama]] kwenye [[sare]] ya luteni katika jeshi la [[Tanzania]].]]
'''Luteni''' (kwakutoka [[Kiingereza]]: ''Lieutenant''), pia '''Luteni wa Kwanza''', ni [[cheo]] cha [[afisa]] wa [[jeshi]] kilicho chini ya [[Kapteni]] na juu ya [[Luteni wa Pili]].
 
[[Asili]] ya [[neno]] ni [[Kifaransa]] "''lieu-tenant''" (yaani "mwenye kushika nafasi") kwa maana ya [[naibu]], [[makamu]]. Kiasili lieu-tenant alikuwa makamu wa kapteni, yaani mkuu wa kikosi aliyeshika [[mamlaka]] yake wakati hayuko. Maana hii ni pia asili ya vyeo vya [[Luteni Kanali]] au [[Luteni Jenerali]] vilivyotaja manaibu wa kanali au jenerali. Baadaye ziliendelea kuwa vyeo vya pekee bila kuunganishwa na nafasi ya makamu tena.
 
Maana hiyo ni pia asili ya vyeo vya [[Luteni Kanali]] au [[Luteni Jenerali]] vilivyotaja manaibu wa [[kanali]] au [[jenerali]].
Majeshi ya Afrika yalirithi cheo hiki sawa na vyeo vya kijeshi kwa jumla kutoka mapokeo ya jeshi la kikoloni.
 
Baadaye ziliendelea kuwa vyeo vya pekee bila kuunganishwa na nafasi ya makamu tena.
 
Majeshi ya [[Afrika]] yalirithi cheo hikihicho sawa na vyeo vya kijeshi kwa jumla kutoka [[mapokeo]] ya jeshi la [[Ukoloni|kikoloni]].
{{DEFAULTSORT:Luteni}}
{{Mbegu}}
 
 
 
{{Vyeo_vya_kijeshi_Tanzania}}
[[Jamii:Mbegu]]
[[Jamii:Cheo]]
[[Jamii:Jeshi]]
{{DEFAULTSORT:Luteni}}