Luteni Kanali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Luteni Kanali''' (kwa [[Kiingereza]]: ''Lieutenant Colonel'') ni [[cheo]] cha [[afisa]] wa [[jeshi]], kilicho chini ya [[Kanali]] na juu ya [[Meja]].
 
[[Asili]] ya [[neno]] ''luteni'' ni [[Kifaransa]] "''lieu-tenant''" (yaani "mwenye kushika nafasi") kwa maana ya [[naibu]], [[makamu]]. Kiasili lieu-tenant alikuwa makamu wa [[kapteni]], yaani mkuu wa kikosi aliyeshika [[mamlaka]] yake wakati hayuko.
 
Maana hiyo ni pia asili ya vyeo vya Luteni Kanali au [[Luteni Jenerali]] vilivyotaja manaibu wa [[kanali]] au [[jenerali]].
 
Baadaye ziliendelea kuwa vyeo vya pekee bila kuunganishwa na nafasi ya makamu tena.
 
Majeshi ya [[Afrika]] yalirithi cheo hicho sawa na vyeo vya kijeshi kwa jumla kutoka [[mapokeo]] ya jeshi la [[Ukoloni|kikoloni]].
{{Vyeo_vya_kijeshi_Tanzania}}
{{Mbegu}}