Andorra : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 54:
'''Utemi wa Andorra''' ([[Kikatalani]]: Principat d'Andorra, [[Kifaransa]]: Principauté d'Andorre) ni nchi ndogo katika [[Ulaya]] ya kusini magharibi.
 
[[Katiba]] yake ni ya utemi lakini kuna watemi wawili, nao wako nje ya nchi. Mmoja ni [[rais]] wa [[Ufaransa]] na mwingine ni [[askofu]] wa Urgell katika [[Hispania]].
Idadi ya wakazi ni 85,000, ambao kati yao 2/3 si wananchi. [[Lugha rasmi]] ni [[Kikatalunya]]. 90.1% ya wakazi ni [[Wakatoliki]].
 
Katiba yake ni ya utemi lakini kuna watemi wawili, nao wako nje ya nchi. Mmoja ni [[rais]] wa [[Ufaransa]] na mwingine ni [[askofu]] wa Urgell katika [[Hispania]].
 
Eneo la Andorra ni bonde katika [[milima ya Pirenei]] kati ya Hispania na Ufaransa. Mahali pake mlimani palisababisha imeendelea kama nchi ya pekee kwa sababu zamani hapakuwa na njia wala mawasiliano.
Siku hizi imekuwa nchi tajiri kutokana na [[utalii]].
 
Andorra ni nchi mwanachama ya [[Baraza la Ulaya]] lakini si ya [[Umoja wa Ulaya]]. Hivyo si sehemu ya eneo la kodi za pamoja la Ulaya. Hali hii inavuta watalii kwa sababu [[bidhaa]] nyingi zinapatikana bila [[kodi]] kwa [[bei]] nafuu kuliko Hispania au Ufaransa; [[kodi ya ongezeko la thamani]] (VAT) iko kwenye 4% pekee.
 
Andorra inatumia [[pesa]] ya [[Euro]] bila kushiriki katika mkataba wa Euro.
 
Siku hizi imekuwa nchi tajiri kutokana na [[utalii]].
 
==Jiografia==
Eneo la Andorra ni [[bonde]] katika [[milima ya Pirenei]] kati ya Hispania na Ufaransa. Mahali pake mlimani palisababisha imeendelea kama nchi ya pekee kwa sababu zamani hapakuwa na njia wala mawasiliano.
 
== Historia ==
Line 79 ⟶ 78:
Tangu 1993 Andorra ni nchi mwanachama wa [[Umoja wa Mataifa]].
 
==Watu==
Idadi ya wakazi ni 85,000, ambao kati yao 2/3 si wananchi. [[Lugha rasmi]] ni [[Kikatalunya]]. 90.1% ya wakazi ni [[Wakatoliki]].
 
==Picha==
<gallery>
Image:Satellite image of Andorra in March.jpg|Picha kutoka chombo cha angani inaonyesha eneo la Andorra