Pasaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
{{Mwaka wa liturujia}}
[[Picha:Easter eggs - straw decoration.jpg|thumb|left]]
'''Pasaka''' ni [[jina]] la [[sikukuu]] muhimu katika [[dini]] za [[Uyahudi]] na [[Ukristo]]. [[Jina]] la Pasaka limetokana na [[neno]] la [[Kiebrania]] "פסח" (tamka: pasakh).
 
* '''[[Pasaka ya Kiyahudi]]''' ni [[ukumbusho]] wa kutoka[[ukombozi]] kwawa [[Wanaisraeli]] kutoka [[Misri]] wakati wa [[Musa]] mnamo miaka ya [[1200 KK]].
 
* '''[[Pasaka ya Kikristo]]''' ni ukumbusho wa [[Ufufuko wa Yesu|kufufuka kwake]] [[Yesu Kristo]] siku ya [[tatu]] baada ya [[Msalaba wa Yesu|kusulubiwa kwake]]. Inahesabiwa kuwa sikukuu muhimu kabisa katika Ukristo.
Mstari 17:
Pasaka ya Kiyahudi inafuata [[kalenda ya Kiyahudi]]: ni tarehe 15 Nisan ambayo ni siku baada ya [[mwezi mpevu]] wa kwanza baada ya [[sikusare]] ya [[Majira ya kuchipua|machipuko]] (mnamo [[21 Machi]]).
 
Kwa kawaida Pasaka ya Kikristo, tangu [[karne ya 1]] au [[karne ya 2]] inaunganisha siku ya [[Jumapili]] (ni Jumapili kila mwaka kwa sababu ndiyo siku ya ufufuko katika [[mapokeo]] ya Kikristo) pamoja na kumbukumbu ya pasaka ya Kiyahudi.

Tangu [[mtaguso wa kwanza wa Nikea]] Wakristo walipatana kusheherekea Pasaka kwenye Jumapili ya kwanza baada ya mwezi mpevu unaotokea baada ya sikusare ya tarehe 21 Machi. Kwa hiyo Pasaka inaweza kutokea kati ya [[22 Machi]] hadi [[25 Aprili]].
 
Tangu masahihisho ya [[kalenda ya Juliasi]] na kuanzishwa kwa [[kalenda ya Gregori]] mara nyingi kuna tofauti kati ya Pasaka ya [[Ukristo wa magharibi]] (sehemu kubwa ya [[Kanisa Katoliki]] na [[Kanisa|makanisa]] ya [[Uprotestanti]]) na Pasaka ya [[Ukristo wa mashariki]] kwa sababu [[Waorthodoksi]] wanaendelea kutumia kalenda ya Juliasi kwa ajili ya kukadiria sikukuu zao.
 
== Majina ya Pasaka ya Kiyahudi na Pasaka ya Kikristo katika lugha mbalimbali ==
Katika [[lugha]] nyingi asili hii bado inaonekana, ingawa mara nyingi [[umbo]] la [[neno]] ni tofauti kidogo. Jina la sikukuu ya Kiyahudi linapatikana kwa maumbo mbalimbali. Siku hizi mara nyingi umbo la neno la Kiebrania limetumika lakini [[desturi]] katika lugha hizo inaonyesha pia umbo linalofanana zaidi na neno kwa ajili ya sherehe ya Kikristo.
 
{| {{jedwalimaridadi}}