Tofauti kati ya marekesbisho "Paka-kaya"

584 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
Uhamiaji wa matini kutoka Paka
(Masahihisho)
(Uhamiaji wa matini kutoka Paka)
 
 
Asili ya paka ni paka za porini (kwa hakika [[paka-jangwa]], ''F. s. lybica'') walioanza kutafuta chakula karibu na makazi ya watu wa kale na kuwazoea. Watu walipenda paka kwa sababu paka hushika [[panya]] na wanyama wengine wadogo wanaoonekana ni waharibifu katika makazi ya watu. Kwa hiyo paka waliendelea kwa muda mrefu katika mazingira ya kibinadamu kama wawindaji wa panya waliolishwa na watu wakipewa mabaki ya chakula pia. Katika mazingira ya mjini paka hufugwa mara nyingi kama mnyama kipenzi hapati tena nafasi ya kuwinda.
 
[[Picha:Il Gatto e il Topo 2.jpg|thumb|250px|left|Paka na panya]]
== Magonjwa ya paka ==
Kwa sababu ya kuishi karibu sana na binadamu, magonjwa ya paka huenda yakaambukizwa kwa binadamu. Paka huenda akawa na virusi, bakteria, fungi au hata vimelea kama chawa ambao wataambukizwa kwa binadamu. Maradhi huenda yakawa hayaonekani kwa paka lakini akiambukizwa binadamu huwa basi yanaonekana. Magonjwa haya ni kama [[:en:Salmonella|salmonella]], kujikunakuna [[:en:Cat_scratch_disease|(cat scratch disease]]) na [[:en:Toxoplasmosis|toxoplasmosis]]. Ili kujikinga, yafaa paka apulizwe kwa dawa na pia kupelekwa kwa daktari wa wanyama mara kwa mara.
 
==Picha==
<gallery>
[[Picha:Il Gatto e il Topo 2.jpg|thumb|250px|left|Paka na panya]]
</gallery>
 
== Viungo vya nje ==
{{Wiktionary}}
10,151

edits