Chansela (kiongozi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Unja1234 alihamisha ukurasa wa Chansella hadi Kansela: neno kansela ndilo tafsiri sahihi ya neno "chancellor"
No edit summary
Mstari 1:
'''ChansellaKansela''' (kwa [[Kijerumani]]: "Kanzler") ni [[cheo]] cha mkuu wa [[serikali]], lakini si mkuu wa dola, katika [[Ujerumani]] na [[Austria]]. Kinafanana na cheo cha [[waziri mkuu]].
 
Vinginevyo [[neno]] hili limemaanisha vyeo mbalimbali vya ngazi tofauti. Asili ya neno ni [[Kilatini]] "cancellarius" la kumtaja mtu mwenye [[ofisi]] aliyewajibika kutoa vyeti rasmi. Wakati mwingine neno lilimtaja [[mwandishi]] tu. Lakini lilitumika pia kwa ajili ya cheo cha "Mwandishi Mkuu" kilichoweza kufanana na "Katibu Mkuu" kwa [[Kiswahili]] yaani msimamizi wa kazi ya utawala.
 
Katika nchi za [[Ujerumani]] na [[Austria]] ni cheo cha mkuu wa serikali. [[Uswisi]] linamaanisha Katibu Mkuu wa ofisi ya serikali.
 
Huko [[Uingereza]] chansella ni cheo cha [[waziri wa fedha]] ("Chancellor of the Exchequer") pia cheo cha [[afisa]] mkuu wa [[bunge]] ("Lord Chancellor") ambaye ni mwenyekiti wa nyumba ya juu bungeni.
 
Cheo cha chansella kinapatikana kimataifa pia kwenye '''vyuo vikuu''' vya nchi mbalimbali likimtaja ama [[mkuu wa chuo]] au mkuu wa utawala wa chuo. Katika nchi kadhaa za [[Afrika]] [[rais]] wa [[taifa]] amejipatia au kupatiwa cheo cha chansella wa chuo kikuu. Katika nchi hizi -jinsi ilivyokuwa nchini [[Kenya]] hadi mwaka 2003- mkuu halisi wa chuo alikuwa na cheo cha makamu wa chansella.
 
== Tazama pia ==