Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
 
== Sherehe!!! ==
 
Angalia hatua aliyoifikisha [[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Ndugu Riccardo]]: [[Wikipedia:Matukio_ya_hivi_karibuni#40,000|Matukio ya hivi karibuni]]. Sherehe!!! --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita|majadiliano]])''' 10:13, 17 Machi 2018 (UTC)
 
Line 12 ⟶ 11:
:::Nashukuru. Nilikuwa najua tu kuhusu neno 'kansela' pekee kwa vile hutumiwa katika DW.
::::Hi si ajabu. DW ni sauti ya Ujerumani. Maana Wa-TZ na Wa-EAK wanaotunga matini za DW-Kiswahili pale Cologne wamejifunza Kijerumani wakitumia neno "Kanzler" au "Kanzlerin" (kike). Hata "chansela" ni utohoaji tu wa neno la Kiingereza. Asili yake ni Kilatini "cancellarius" kwa lugha zote za Ulaya. Ila labda njia ya kupitia Kiingereza itaeleweka rahisi zaidi kwa wasomaji wetu Afrika ya Mshariki. Ni vema kutaja maumbo yote mawili na kutumia redirect. Ninanakili sehemu ya chini kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala tusikie kama wengine wana neno kama ibaki Kansela caadaye kazi kwako kubadilisha makala zote) au irudishwe Chansela.'''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 19:29, 28 Machi 2018 (UTC)
 
==Kaunti za Kenya==
Ndugu, hongera kwa kurasa zako nzuri na kwa maendeleo yako katika kuhariri. Naomba ukiwa Kenya, utuharirie kurasa za kaunti zake zote, kwa kuwa mpaka sasa Wikipedia imeishia katika mikoa na wilaya kama kabla ya katiba mpya. Asante sana na amani kwako! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 07:32, 29 Machi 2018 (UTC)