Nyuzilandi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 52:
}}
'''Nyuzilandi''' (kwa [[Kiingereza]]: '''New Zealand'''; kwa [[Kimaori]]: '''Aotearoa''') ni [[nchi ya visiwani]] katika [[Pasifiki]] takriban [[km]] 1,
Eneo lake linaundwa na [[visiwa]] viwili vikubwa: [[kisiwa cha kaskazini]] (North Island au Te Ika-a-Māui) na [[kisiwa cha kusini]] (South Island au Te Waipounamu) na vingine 600 vidogo.
==Jiografia==
* [[Orodha ya milima ya New Zealand]]
== Miji ==
Line 78 ⟶ 81:
==Watu==
[[Idadi]] ya wakazi ni 4,690,000. Wengi wao (74%) bado wana asili ya [[Ulaya]], ingawa [[asilimia]] yao inazidi kupungua. Wakazi asili walitokea [[Polinesia]] na walihamia visiwa vivyo kati ya miaka [[1250]]-[[1300]] [[BK]]; kwa sasa ni 14.9% ya wakazi wote. Wengine wana asili ya [[Asia]] (11.8%) na ya visiwa vya [[Pasifiki]] (7.4%).
[[Lugha rasmi]] ni [[Kiingereza]], [[Kimaori]] na [[Lugha ya Ishara ya Nyuzilandi]] (kwa Kiingereza: [[w:New_Zealand_Sign_Language|New Zealand Sign Language]] au NZSL).
Upande wa [[dini]],
==Tazama pia==
|