Julius Nyerere : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 89:
Baada ya kumaliza masomo ya ualimu alirudi Tabora akifundisha shule ya St.Mary.
 
Mwaka [[1949]] alipata [[skolashipu[[]] ya kwenda kusoma kwenye [[Chuo Kikuu]] cha [[Edinburgh]], [[Uskoti]], [[Ufalme wa Muungano]], akapata [[M.A.]] ya [[historia]] na [[uchumi]] (alikuwa Mtanganyika wa kwanza kusoma katika chuo kikuu cha Uingereza na wa pili kupata [[shahada]] ya [[elimu ya juu]] nje ya Tanganyika).
 
Aliporejea kutoka masomoni, alifundisha Historia, [[Kiingereza]] na [[Kiswahili]] katika shule ya [[Fransisko wa Asizi|St. Francis]] iliyo karibu na [[Dar es Salaam]].
Mstari 99:
Uwezo wa Nyerere uliwashtua viongozi wa [[Ukoloni|kikoloni]] akalazimika kuchagua kati ya siasa na kazi ya ualimu. Nyerere alisikika akijisemea kuwa mwalimu kwa kuchagua na [[mwanasiasa]] kwa [[bahati]] mbaya.
 
Alijiuzulu ualimu<ref>[[Barua ya kujiuzulu ualimu ya Julius Kambarage Nyerere]]</ref> na kuzunguka nchi nzima ya Tanganyika kuzungumza na watu wa kawaida na machifu ili kuleta [[umoja]] katika kupigania [[uhuru]]. Pia alizungumza kwa niaba ya TANU katika Trusteeship Council na Fourth Committee ya [[Umoja wa Mataifa]] (UN) huko [[New York]].
 
Uwezo wake wa kuongea na wa kuunganisha watu ulimwezesha kufanikisha Tanganyika kupata uhuru bila [[umwagaji wa damu]].
Mstari 127:
Tarehe 14 Oktoba 1999 aliaga dunia katika [[hospitali]] ya [[St Thomas]] mjini [[London]] baada ya kupambana na [[kansa]] ya [[damu]].
 
==Mafanikio na kasoro==
[[Image:Muungano.JPG|thumb|250px|Nyerere akichanganya [[udongo]] wa Zanzibar na Tanganyika wakati wa muungano mwaka 1964.]]
 
===Mafanikio===
Kati ya mafanikio makubwa ya Nyerere kuna: kujenga umoja wa taifa kati ya watu wa makabila na dini tofauti, na hivyo kudumisha [[amani]] ya muda mrefu tofauti na hali ya [[nchi]] jirani, iliyofanya Tanzania iitwe "kisiwa cha amani".
 
Line 137 ⟶ 135:
Kutoa mchango kwa vyama vya [[ukombozi]] vya nchi za [[Kusini mwa Afrika]] kama vile: [[Zimbabwe]] ([[ZANU]]), [[Afrika Kusini]] ([[ANC]] na [[PAC]]), [[Namibia]] ([[SWAPO]]), [[Angola]] ([[MPLA]]) na [[Msumbiji]] ([[Frelimo]]).
 
===Ukosoaji dhidi yake===
[[Image:Nyerere 2.jpg|thumb|left|170px|Mwalimu Julius Kambarage Nyerere]]
Nyerere analaumiwa kwa siasa yake ya kiujamaa kuwa ilichelewesha [[maendeleo]] ya kiuchumi wa Tanzania. Siasa yake ya [[ujamaa]] ilishindikana kwa kiasi kikubwa baada ya mwaka [[1976]] kwa sababu mbalimbali za nje na za ndani ya nchi.
Line 149 ⟶ 147:
Pia kuna makundi ya [[Waislamu]] wanaomtuhumu kwa kuendesha kwa siri vita dhidi ya dini yao na kupendelea Wakristo katika utoaji wa elimu na madaraka,japo wasomi wengi kwa kipindi cha utawala wake walikuwa Wakristo.
 
===Sifa zake===
[[Image:Nyerere bao butiama.jpg|thumb|250px|Nyerere akicheza [[bao]] kwake [[Butiama]], akitazamwa na mwandamizi wake katika urais Ali Hassan Mwini, [[mke]] wake [[Mama Maria]], na kaka yake, chifu Burito.]]
 
===Sifa zake===
Pamoja na hayo, Nyerere bado anakumbukwa na Watanzania hasa wa hali ya chini kutokana na [[sera]] zake za kujali [[utu]]. Pia ataendelea kukumbukwa na Waafrika barani kote hasa kwa mchango wake mkubwa wakati wa harakati za kupigania uhuru katika nchi mbali mbali barani Afrika.