Utume wa Yesu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 18:
Safari hiyo ya mwisho ilimchukua tena kwa [[muda]] karibu na mahali alipobatizwa.<ref name="Steven L. Cox pages 121-135">Steven L. Cox, Kendell H Easley, 2007 ''Harmony of the Gospels'' ISBN 0-8054-9444-8 pages 121-135</ref><ref name="Jesus pages 189-207">''The Life and Ministry of Jesus: The Gospels'' by Douglas Redford 2007 ISBN 0-7847-1900-4 pages 189-207</ref><ref name="Steven L. Cox page 137">Steven L. Cox, Kendell H Easley, 2007 ''Harmony of the Gospels'' ISBN 0-8054-9444-8 page 137</ref><ref name="Jesus pages 211-229">''The Life and Ministry of Jesus: The Gospels'' by Douglas Redford 2007 ISBN 0-7847-1900-4 pages 211-229</ref><ref name="Bible' page 929">''Mercer dictionary of the Bible'' by Watson E. Mills, Roger Aubrey Bullard 1998 ISBN 0-86554-373-9 page 929</ref>
 
Utume wake wa mwisho mjini Yerusalemu ulianza na tukio la [[Jumapili ya matawi|kuingia Yerusalemu kwa shangwe]] ya [[Wayahudi]] walioamini kwamba ndiye [[Masiya]], hasa baada ya [[muujiza]] mkuu alioufanya, yaani kumfufua [[Lazaro wa Bethania]] kutoka [[kaburi]]ni siku ya [[nne]] baada ya [[kifo]]. Injili zinasimulia kirefu zaidi habari za hiyo [[Juma Kuu|wiki ya mwisho]] kutokana na umuhimu wake kama kilele cha yote.<ref name=Turner613 >''Matthew'' by David L. Turner 2008 ISBN 0-8010-2684-9 page 613</ref>
 
==Picha==
<gallery>
Image:Giotto - Scrovegni - -24- - Marriage at Cana.jpg|[[Arusi ya Kana]]
File:Christus heilt einen Besessenen.jpg|[[Mazinguo]] katika [[Sinagogi]] la [[Kapernaumu]]]]
File:Vittore carpaccio, vocazione di san matteo.jpg|[[Wito wa Mathayo]] kadiri ya [[Vittore Carpaccio]], 1502
File:V&A - Raphael, The Miraculous Draught of Fishes (1515).jpg|[[Wanafunzi wa kwanza wa Yesu]] na [[Uvuvi wa ajabu]]