Visiwa vya Falkland : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d →Viungo vya Nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|en}} using AWB (10903) |
No edit summary |
||
Mstari 16:
|government_type = [[Eneo la ng'ambo la Uingereza]]
|leader_titles = [[Malkia]]
|leader_names = [[Elizabeth II wa Uingereza
|area_rank = 162
|area_magnitude = 1 E10
Mstari 59:
|footnotes =
}}
[[Picha:Christchurch-Cathedral.jpg|thumb|210px|left|[[Kanisa
[[Picha:Camp-Settlement.jpg|thumb|275px|left|
'''Visiwa vya Falkland''' (kwa [[Kiingereza]]: '''Falkland Islands''';
Falkland ni [[eneo la ng'ambo la Uingereza]] linalodaiwa na [[Argentina]] kama sehemu yake. Hivyo [[mwaka]] [[1982]] [[jeshi]] la Argentina ilivamia visiwa vikuu. Uingereza ilijibu kivita ikapeleka wanajeshi huko na baada ya vita vifupi vya [[wiki]] 6 Argentina ilishindwa; takriban wanajeshi 1,000 waliuawa.
==Jiografia==
Funguvisiwa
[[Hali ya hewa]] ni [[baridi]] na kuna [[mvua]] nyingi. [[Halijoto]] ya [[wastani]] ni 5 [[°C]] pekee. Kwa sababu
==Watu==
[[Idadi]] ya wakazi imepita 3,000 na wote hao ni [[Waingereza]] wanaosema Kiingereza. Wanajipatia [[riziki]] zao kwa [[uvuvi]] na [[ufugaji]] wa [[kondoo]].
[[Mji]] pekee ambao ni pia [[makao makuu]] ya [[utawala]] ni [[Stanley, Falkland|Port Stanley]] kwenye kisiwa cha mashariki wenye wakazi 2,100. Pamoja na wakazi kuna [[wanajeshi]] Waingereza 1,500.
[[Barabara]] ya [[lami]] ya pekee kisiwani ni ile inayounganisha Stanley na kituo cha kijeshi kwa [[umbali]] wa [[kilomita]] 50.
== Viungo vya Nje ==▼
==Tanbihi==
{{Marejeo}}
==Marejeo==
* L.L. Ivanov ''et al.''. [[wikisource:en:The Future of the Falkland Islands and Its People|''The Future of the Falkland Islands and Its People''.]] Sofia: Manfred Wörner Foundation, 2003. 96 pp. ISBN 954-91503-1-3 ([[wikisource:es:El Futuro de las Islas Falkland y de Su Pueblo|Capítulo principal]] en español)
* Carlos Escudé y Andrés Cisneros, dir. [http://www.cema.edu.ar/ceieg/arg-rree/historia_indice00.htm ''Historia general de las relaciones exteriores de la República Argentina''.] Obra desarrollada y publicada bajo los auspicios del Consejo Argentino para las Relaciones Internacionales (CARI). Buenos Aires: GEL/Nuevohacer, 2000. ISBN 950-694-546-2 (en castellano)
* Graham Pascoe and Peter Pepper. [http://www.falklandshistory.org/gettingitright.pdf Getting it right: The real history of the Falklands/Malvinas.] Mei 2008.
* D.W. Greig, [http://www.austlii.com/au/journals/AUYrBkIntLaw//1978/2.pdf Sovereignty and the Falkland Islands Crisis.] ''Austrialian Year Book of International Law''. Vol. 8 (1983). pp. 20-70. ISSN: 0084-7658
* http://www.pcgn.org.uk/Falkland%20Islands-July2006.pdf▼
▲== Viungo vya Nje ==
{{commons}}
▲* http://www.pcgn.org.uk/Falkland%20Islands-July2006.pdf
{{mbegu-jio-AmerikaKusini}}
[[Jamii:Eneo la ng'ambo la Uingereza]]
[[Jamii:Amerika Kusini]]
|