Visiwa vya Falkland : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 72:
==Watu==
[[Idadi]] ya wakazi imepita 3,000 na wote hao ni [[Waingereza]] wanaosema Kiingereza. Wanajipatia [[riziki]] zao kwa [[uvuvi]] na [[ufugaji]] wa [[kondoo]].
 
Upande wa [[dini]], 66[[%]] ni [[Wakristo]], hasa [[Waanglikana]], lakini pia [[Wakatoliki]] na wengineo. 32% hawana dini yoyote.
 
[[Mji]] pekee ambao ni pia [[makao makuu]] ya [[utawala]] ni [[Stanley, Falkland|Port Stanley]] kwenye kisiwa cha mashariki wenye wakazi 2,100. Pamoja na wakazi kuna [[wanajeshi]] Waingereza 1,500.