Tofauti kati ya marekesbisho "Masokwe"

12 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
* [[Hylobatidae]] (Masokwe wadogo)
}}
'''Masokwe''' au '''sokwe''' ni [[mnyama|wanyama]] wa [[familia ya juu]] [[Hominoidea]]. Kuna [[familia (biolojia)|familia]] mbili za masokwe: [[Hylobatidae]] ([[sokwe mdogo|masokwe wadogo]] au [[giboni]]) na [[Hominidae]] ([[sokwe mkubwa|masokwe wakubwa]] nawanaotia ndani [[binadamu]]). Masokwe wadogo huishi daima mitini na huteremka kwa nadra. Wana mikono mirefu ili kining'inia kutoka tawi moja hadi jingine na kutoka mti mmoja hadi mwingine. Wanatokea [[msitu|misitu]] ya [[tropiki]] ya [[Asia]]. Masokwe wakubwa hupitisha muda pengine mrefu ardhini, [[orangutanu]] muda kidogo tu na [[ngagi]] muda mrefu sana. Takriban [[spishi]] zote zinatokea [[Afrika]] lakini orangutanu wanatokea [[Asia]] ya Mashariki.
 
== Mwainisho ==