Tofauti kati ya marekesbisho "Masokwe"

50 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
 
* [[Hylobatidae]] (Masokwe wadogo)
}}
'''Masokwe''' (wingi wa '''sokwe''') ni [[mnyama|wanyama]] wa [[familia ya juu]] [[Hominoidea]].
'''Masokwe''' au '''sokwe''' ni [[mnyama|wanyama]] wa [[familia ya juu]] [[Hominoidea]]. Kuna [[familia (biolojia)|familia]] mbili za masokwe: [[Hylobatidae]] ([[sokwe mdogo|masokwe wadogo]] au [[giboni]]) na [[Hominidae]] ([[sokwe mkubwa|masokwe wakubwa]] wanaotia ndani [[binadamu]]). Masokwe wadogo huishi daima mitini na huteremka kwa nadra. Wana mikono mirefu ili kining'inia kutoka tawi moja hadi jingine na kutoka mti mmoja hadi mwingine. Wanatokea [[msitu|misitu]] ya [[tropiki]] ya [[Asia]]. Masokwe wakubwa hupitisha muda pengine mrefu ardhini, [[orangutanu]] muda kidogo tu na [[ngagi]] muda mrefu sana. Takriban [[spishi]] zote zinatokea [[Afrika]] lakini orangutanu wanatokea [[Asia]] ya Mashariki.
 
Kuna [[familia (biolojia)|familia]] [[mbili]] za masokwe: [[Hylobatidae]] ([[sokwe mdogo|masokwe wadogo]] au [[giboni]]) na [[Hominidae]] ([[sokwe mkubwa|masokwe wakubwa]] wakiwemo [[binadamu]]).
== Mwainisho ==
 
Masokwe wadogo huishi daima [[Miti|mitini]] na huteremka kwa nadra. Wana [[mikono]] mirefu ili kining'inia kutoka [[tawi]] [[moja]] hadi jingine na kutoka mti mmoja hadi mwingine. Wanatokea [[msitu|misitu]] ya [[tropiki]] ya [[Asia]].
 
Masokwe wakubwa hupitisha [[muda]] pengine mrefu [[Ardhi|ardhini]], [[orangutanu]] muda kidogo tu na [[ngagi]] muda mrefu sana. Takriban [[spishi]] zote zinatokea [[Afrika]] lakini orangutanu wanatokea [[Asia ya Mashariki]].
 
== Uainisho ==
Familia ya juu [[Hominoidea]] ([[Sokwe (Hominoidea)|Masokwe]])
* Familia [[Hylobatidae]] ([[Masokwe wadogo]])
** [[Jenasi]] ''[[Hylobates]]'' ([[w:Hylobates|Hylobates]])
** Jenasi ''[[Hoolock]]'' ([[w:Hoolock gibbon|Hoolock gibbon]])
** Jenasi ''[[Nomascus]]'' ([[w:Nomascus|Nomascus]])