Sudan Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 129:
[[File:SouthSudanStates.svg|thumb|450px|Majimbo 10 ya Sudan Kusini yalivyotokana na [[wilaya]] 3 za Sudan {{legend|#9BCD9B|[[Bahr el Ghazal]]}} {{legend|#7AC5CD|[[Equatoria]]}} {{legend|#EEE685|[[Greater Upper Nile]]}}.]]
[[File:28 States of South Sudan.png|thumb|450px|Majimbo 28 yaliyotangazwa mwaka 2015.]]
Kiutawala, Sudan Kusini inajumuisha [[majimbo]] kumi ambayo hapo awali yalikuwa kihistoria Mikoa mitatu ya Bahr el Ghazal, Equatoria, na Nile ya juu. Mwaka [[2015]] nchi imegawiwa upya katika majimbo 28 ambayo mipaka yake inafuata ile ya ma[[kabila]] yanayoishi humo. Kufikia mwaka 2017 yameongezeka 4 tena, hivyo sasa ni 32:
#[[Aweil State|Aweil]]
#[[Aweil East]]
#[[Eastern Lakes State|Eastern Lakes]]
#[[Gogrial State|Gogrial]]
#[[Gok State|Gok]]
#[[Lol State|Lol]]
#[[Tonj State|Tonj]]
#[[Twic]]
#[[Wau State|Wau]]
#[[Western Lakes State|Western Lakes]]
#[[Amadi State|Amadi]]
#[[Gbudwe State|Gbudwe]]
#[[Imatong State|Imatong]]
#[[Jubek State|Jubek]]
#[[Maridi State|Maridi]]
#[[Kapoeta State|Kapoeta]]
#[[Tumbura State|Tumbura]]
#[[Terekeka State|Terekeka]]
#[[Yei River State|Yei River]]
#[[Boma State|Boma]]
#[[Central Upper Nile]]
#[[Akobo]]
#[[Northern Upper Nile]]
#[[Jonglei]]
#[[Latjoor]]
#[[Maiwut State|Maiwut]]
#[[Northern Liech]]
#[[Ruweng State|Ruweng]]
#[[Southern Liech]]
#[[Bieh]]
#[[Fashoda State]]
#[[Fangak State]]
 
Maeneo matatu ya Milima ya Nuba, Abyei na Nile ya Buluu kiutamaduni na kisiasa ni sehemu za Kusini lakini kwa mujibu wa [[CPA]] yatakuwa na utawala tofauti mpaka kura ya maoni ambayo ifanyike ambapo yatapata fursa ya kujiunga na Sudan Kusini au kubaki chini ya utawala wa Sudan. Lakini kuna wasiwasi kama Sudan itaitisha kura za namna hiyo.
 
Kabla ya hapo, Sudan Kusini ilijumuisha [[majimbo]] kumi ambayo kihistoria yalikuwa Mikoa mitatu ya Bahr el Ghazal, Equatoria, na Nile ya juu.
{{Columns |width=160px
|col1 =