Mein Kampf : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:FrMeinKampf20050214.jpg|thumb|Toleo la Kifaransa la "Mein Kampf"]]
 
'''Mein Kampf''' ([[tamka ''main kampf''; [[Kijerumani]]: Mapambano au mapigano yangu) ni kitabu kilichoandikwa na [[Adolf Hitler]] kabla ya kushika utawala wa [[Ujerumani]]. Alieleza humo mawazo yake juu ya siasa, historia na dunia kwa jumla. Hitler alianzisha kitabu cha kwanza cha Mein Kampf gerezani alipofungwa baada ya jaribio la kupindua serikali mwaka 1923. Alipoondoka aliongeza kitabu cha pili. Tangu 1930 sehemu zote mbili zilichapishwa pamoja kama kitabu kimoja.
 
Katika kitabu chake Hitler alieleza kwa upana mawazo yake mbalimbali.