YHWH : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d The file Image:Depiction_of_Jehovah_(detail),_Martinskirche,_Olten,_Switzerland_-_20061203.jpg has been removed, as it has been deleted by commons:User:Fastily: ''Per [[commons:Commons:Deletion requests/File:Depiction of Jehovah (detail), Mar...
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tetragrammaton scripts.svg|frame|right|[[Jina]] YHWH kwa [[alfabeti]] ya [[Kiebrania]] cha zamani ([[karne ya 10 KK]] hadi [[135]] [[BK]]), ya [[Kiaramu]] cha zamani (karne ya 10 KK hadi [[karne ya 4]] [[BK]]) na ya mraba ([[karne ya 3]] hadi sasa).]]
 
Herufi nne '''יהוהYHWH''' (yaani, “Mimi Ndimi”) ni [[herufi]] [[nne]] ambazo kwa [[Kiebrania]] zinaandikwa '''YHWHיהוה'''). niNi [[konsonanti]] zazinazounda [[jina]] la [[Mungu]] lililo muhimu kuliko yote linalopatikana mara 6,828 hivi katika [[Biblia ya Kiebrania]] kuanzia [[Mwa]] 2:4.
 
Jina hilo halipatikani kabisa katika [[vitabu]] vya [[Wimbo Ulio Bora]], [[Kitabu cha Mhubiri]] na [[Kitabu cha Esta]].
 
[[Wayahudi]] walizidi kuliheshimu jina hilo hata wakaacha kulitamka wakati wa kulikuta katika [[Biblia ya Kiebrania|Maandiko Matakatifu]]; badala yake walikuwa wanasoma אֲדֹנָי, Adonai, yaani '''[[Bwana]]'''.
 
Labda kwa sababu hiyo watafsiri wa kwanza wa [[Biblia]] kwenda [[lugha]] ya [[Kigiriki]] ([[LXX]]) walilitafsiri Κύριος, Kyurios, yaani '''Bwana'''.
 
Kwa kuzoea hivyo, katika kutoa ma[[dondoo]] ya [[Agano la Kale]], [[Wakristo]] wa kwanza walitumia [[tafsiri]] hiyohiyo.
 
==Katika Agano Jipya==
Ndiyo sababu, katika [[Agano Jipya]] jina hilo halipatikani, isipokuwa kifupi kama Yah, hasa katika [[shangilio]] la Kiebrania ''[[Aleluya]]'', yaani ''Msifuni Bwana''. Pia [[Yesu]] alifunua Umungu wake kwa kujisemea, “Mimi Ndimi” na kwa kukubali kuitwa, “Bwana”.
 
Pamoja na hayo, [[sala|alisali]] na kufundisha kusali kwa kumuelekea “Aba” yaani, “Baba”. Ndilo jina ambalo linampendeza zaidi na kutuingiza katika [[fumbo]] lake kama [[Mwana|wana]] ndani ya [[Mungu Mwana|Mwana pekee]] ambaye “Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa Yesu Kristo ni Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba” ([[Fil]] 2:9-11). “Msalipo, semeni, ‘Baba, jina lako litakaswe’” ([[Lk]] 11:2). “Mlipokea roho ya kufanywa wana, ambayo kwa hiyo twalia, ‘Aba!’ yaani, ‘Baba!’” ([[Rom]] 8:15).
 
==Herufi zenyewe==
Line 37 ⟶ 40:
 
==Matamshi==
Kwa kuwa jina liliachwa kutajwa, na [[maandishi]] asili hayakuwa na [[vokali]], [[matamshi]] yake sahihi hayajulikani kwa hakika.
 
Hata hivyo, leo [[wataalamu]] wengi wanakubaliana kulitamka Yahweh, si Yehova kama miaka ya nyuma.
Kwa kuwa jina liliachwa kutajwa, na maandishi asili hayakuwa na [[vokali]], matamshi yake sahihi hayajulikani kwa hakika.
 
Hata hivyo, leo wataalamu wengi wanakubaliana kulitamka Yahweh, si Yehova kama miaka ya nyuma.
 
[[Category:Mungu]]
[[Category:Biblia]]
[[Category:Uyahudi]]
 
[[es:Yahveh#Escritura]]