Tofauti kati ya marekesbisho "Binadamu"

2,033 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
 
== Binadamu kadiri ya Biblia ==
Kadiri ya [[Biblia]], binadamu ameumbwa “kwa mfano wa Mungu” ([[Mwa]] 1:27), mwenye [[roho]] isiyokufa. Hivyo, Mungu amependa kuwasiliana na watu, akijitambulisha na kujitoa kwetu, tuweze kuishi katika [[urafiki]] naye na hatimaye tushiriki [[heri]] yake.
Ameshirikishwa naye ukuu juu ya viumbe vyote vinavyoonekana.
 
Ameshirikishwa naye ukuu juu ya viumbe vyote vinavyoonekana. “Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, mwezi na nyota ulizoziratibisha; mtu ni kitu gani hata umkumbuke, na binadamu hata umwangalie? Umemfanya mdogo punde kuliko Mungu; umemvika taji ya utukufu na heshima” ([[Zab]] 8:3-5). “Siwaiti tena watumwa; kwa maana mtumwa hajui atendalo bwana wake; lakini ninyi nimewaita rafiki, kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa Baba yangu nimewaarifu” ([[Yoh]] 15:15). Amefanya hivyo kwa maneno na matendo yanayoshikamana sana kwa kuwa maneno yanafafanua matendo, nayo matendo yanathibitisha maneno.
Yeye tu ni [[nafsi]], akiwa na uwezo wa kujifahamu, kujitawala, kujitolea na kupendana na wengine.
 
Mungu ametufunulia pia [[ukweli]] juu yetu wenyewe akijibu kabisa maswali yanayotusumbua kuhusu [[Maana ya maisha|maana]] na lengo la [[maisha]] yetu. “Mungu hutaka watu wote waokolewe, na kupata kujua yaliyo kweli” ([[1Tim]] 2:4). “Mungu si mtu, aseme uongo” ([[Hes]] 23:19). Yeye hadanganyiki wala hadanganyi.
Basi, anapaswa kulinda hadhi hiyo asitawaliwe na [[tamaa]] za kila aina.
 
Kati ya viumbe vinavyoonekana, mtu tu ni [[nafsi]], akiwa na uwezo wa kujifahamu, kujitawala, kujitolea na kupendana na wengine. Basi, anapaswa kulinda hadhi hiyo asitawaliwe na [[tamaa]] za kila aina. Akifanya hivyo anatimiza mpango wa [[Mungu]] juu yake na kupendana naye.
 
[[Malaika]] na watu ndio viumbe pekee vyenye hiari ya kuchagua wenyewe wachangie mpango wa Mungu au la. “Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi, chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako; kumpenda Bwana, Mungu wako, kuitii sauti yake, na kushikamana naye; kwani hiyo ndiyo uzima wako” ([[Kumb]] 30:19-20).
 
Malaika na watu wanaweza kuchagua hata wawe wema au wabaya [[milele]]. “Kulikuwa na vita mbinguni: Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake; nao hawakushinda, wala mahali pao hapakuonekana tena mbinguni” ([[Ufu]] 12:7-8).
 
Chaguo letu binadamu linafanyika siku kwa siku kwa kuchukua misimamo mizuri au mipotovu kuhusu [[dini]] na [[maadili]]. “Mwayachunguza Maandiko, kwa sababu mnadhani kwamba ninyi mna uzima wa milele ndani yake; na hayo ndiyo yanayonishuhudia. Wala hamtaki kuja kwangu mpate kuwa na uzima” ([[Yoh]] 5:39-40).
 
[[Utoto]]ni anasukumwa tu na [[haja]] za [[umbile]] lake, ambazo ni muhimu kwake na anazilenga bila ya kuhitaji juhudi.
Anapopitia misukosuko ya [[ujana]] asikubali kushindwa na [[vionjo]] wala asikate tamaa, kwa kuwa Mungu amemuumba atawale hata nafsi yake na [[mwili]] wake.
 
Mtu wa kwanza kuumbwa na Mungu kadiri ya Biblia alikuwa Adamu, akifuatwa na [[Eva]] [[Mke|mkewe]]. Hapo “Mungu aliona kila kitu alichokifanya, na tazama ni chema sana” (Mwa 1:31).
“Mungu aliona kila kitu alichokifanya, na tazama ni chema sana” (Mwa 1:31).
 
Hata hivyo, baada ya [[dhambi ya asili]] anadaiwa bidii katika kutekeleza tunu ili wema alionao uzae matunda.