Mkoa wa Ruvuma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 43:
Umepewa [[jina]] kutokana na [[mto Ruvuma]] ambao ni mpaka wake wa [[kusini]] na [[Msumbiji]]. Umepakana na [[Ziwa Nyasa]] na [[Mkoa wa Morogoro]] upande wa [[magharibi]], mikoa ya [[Mkoa wa Iringa|Iringa]] na [[Mkoa wa Lindi|Lindi]] upande wa [[kaskazini]] na [[Mkoa wa Mtwara]] upande wa [[mashariki]].
 
[[Makao makuu]] ya [[mkoa]] yako [[Songea mjini]].
 
== Wilaya ==
Ndani ya mkoa huu kuna [[wilaya]] [[sita]] ambazo ni pamoja na ([[idadi]] ya wakazi katika mabano):
*[[wilaya ya Nyasa|Nyasa]] (146,160; tangu [[2012]])
*[[Songea Mjini]] (203,309),
Mstari 62:
 
==Elimu==
[[Elimu]] bado inahitajika, hasa kwa maeneo ya [[Kijiji|vijijini]], maana watu wengi katika mkoa huu hawajaelimika hivyo huleta [[changamoto]] katika [[maendeleo]] maana [[taifa]] huhitaji watu ambao ni [[wasomi]].
 
===Miundombinu===
Sehemu ya [[mashariki]] ya mkoa kuna [[barabara]] ya [[lami]] kutoka [[Dar es Salaam]] kupitia [[Makambako]] na [[Njombe]] hadi Songea. [[Barabara kuu]] kwenda [[Lindi] ni kiwango cha lami kuanzia Songea mjini kupitia Wilaya za Namtumbo, Tunduru, [[Wilaya ya Nanyumbu|Nanyumbu]], [[Wilaya ya Masasi Vijijini|Masasi]], [[Mnazimmoja (Lindi Mjini)|Mnazimmoja-Lindi]], hadi Dar es salaamSalaam.
 
==Majimbo ya bunge==