Sukulenti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Mabadiliko madogo machache
dNo edit summary
Mstari 3:
Mimea hii ya [[Familia (biolojia)|familia]] na [[jenasi]] tofauti ina uwezo wa kutunza maji ndani ya [[Jani|majani]] au [[Shina|mashina]] yao. Kwa hiyo mara nyingi ama majani au shina ni nono kutokana na uwingi wa [[utomvu]] ndani yao.
 
Kwa hiyo "sukulenti" si jina la spishi au familia maalumu ya mimea lakini neno hili inatajalinataja tu umbo la mimea ya aina mbalimbali iliyo imekuwa tofauti kutokana na mazingira yake. [[Jenasi]] moja ya mimea inaweza kutia ndani aina zenye majani nono yenye utomvu mwingi na pia aina nyingine zenye majani ya kawaida zinazomea katika mazingira tofauti.
 
Pia kuna tofauti kati ya watalaamu eti ni nini inayostahili kuitwa sukulenti. Wengi wanaangalia majani na mashina pekee lakini kuna wengine wanaoingiza mle pia mizizi inayotunza maji lakini wengine hawakubali.