Dhambi ya asili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 3:
== Dhambi ya asili katika Biblia ==
[[Picha:Forbidden fruit.jpg|thumb|300px|[[Michelangelo]] alivyochora katika kuta za [[Cappella Sistina]] huko [[Vatikano]] [[dhambi]] ya [[Adamu na Eva]] na [[adhabu]] iliyofuata ya kufukuzwa [[bustani]]ni.]]
 
[[Kitabu cha Mwanzo]] sura ya 3 inasimulia dhambi hiyo. Kwa njia ya [[hadithi]] hiyo tunaambiwa hali mbaya ya binadamu haitokani na [[Mungu]] moja kwa moja, bali na [[uasi]] wetu na wa wazee wetu ([[Hek]] 2:23-24). Pia tunafundishwa kukataa toka mwanzo [[kishawishi|vishawishi]] vyetu tukiamini ma[[agizo]] yote ya Mungu yametolewa naye kwa [[upendo]] mkuu.
 
Line 13 ⟶ 12:
 
== Maendeleo ya dhambi ==
 
Baada ya dhambi ya asili watu walianza kuzaa. Mwa 4:1-16 inatuchorea picha ya [[Kaini]] na [[Abeli]] kama wazaliwa wa kwanza waliotofautiana kiadili ([[1Yoh]] 3:11-12). Toka mwanzo mwovu na mwadilifu waliishi pamoja, wa kwanza akimdhulumu wa pili hata kumuua bila ya kujali udugu. Ikisikitishwa kufikiria mzaliwa wa kwanza kuwa muuaji wa mdogo wake, inafurahisha kwamba wa kwanza kufa alikuwa mwema, kielelezo cha [[Yesu]] aliyeuawa bila ya kosa ([[Eb]] 12:24).
 
Line 26 ⟶ 24:
Hata hivyo ongezeko la dhambi likasababisha maisha ya binadamu yafupike (Mwa 6:3) kwa kuwa ni kusogea mbali na Mungu, chemchemi ya uhai.
 
==TabiaKatika teolojia ya asiliKikristo==
Mungu aliumba watu wa kwanza katika hali ya [[heri]], wakiwa na [[upendo]] wake, [[utakatifu]] na [[uadilifu]]. [[Mateso]] na [[mauti]] yametokana na uasi wetu ambao tangu mzazi wetu wa kwanza tunajaribu kuboresha [[maisha]] yetu mbali na Mungu. “Mungu hakuifanyiza mauti, wala haimpendezi walio hai wakipotea… Ila ulimwengu uliingiwa na mauti kwa husuda yake Shetani” ([[Hek]] 1:13; 2:24). “Dhambi iliingia ulimwenguni kwa mtu mmoja, na kwa dhambi hiyo mauti; na hivyo mauti ikawafikia watu wote kwa sababu wote wamefanya dhambi” ([[Rom]] 5:12).
Katika tafsiri za Biblia kwa [[Kiswahili]] tunakuta msamiati "Tabia ya asili" kwa maana ya [[tabia]] ambayo [[mwanadamu]] amezaliwa nayo kutokana na [[dhambi]]. Ni kwamba [[mwanadamu]] amekuwa na tabia ya kutenda mambo kinyume cha agizo la [[Mungu]]: kila mmoja huzaliwa na hiyo tabia ya [[uovu]].
 
Mungu angeweza kuzuia watu wasitende dhambi, lakini aliwaacha watende kwa [[hiari]] yao awaonyeshe ukuu wa [[huruma]] yake. “Maana Mungu amewafunga wote pamoja katika kuasi ili awarehemu wote” ([[Rom]] 11:32).
 
Toka mwanzo sisi watu tunaasi mpango wa Mungu kwa kuvutwa na [[Shetani|mashetani]], yaani [[malaika]] waliokataa moja kwa moja kumtumikia; baada ya dhambi ya asili hao wanatutumia sisi pia tuangushane na wenzetu. Lakini Mungu aliwahi kumuambia Shetani: “Nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako, na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino” ([[Mwa]] 3:15). “Hata ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu alimtuma Mwanawe ambaye amezaliwa na mwanamke” ([[Gal]] 4:4).
 
Dhambi zote zinahusiana kwa sababu dhambi zinazaa dhambi nyingine ndani mwetu na katika [[mazingira]] yetu. “Hamjui kwamba chachu kidogo hulichachusha donge zima? Basi, jisafisheni, mkatoe ile chachu ya kale, mpate kuwa donge jipya” ([[1Kor]] 5:6-7).
 
Dhambi zimetuathiri kwa ndani zaidi, zikitutia [[udhaifu]] katika [[mwili]], [[ujinga]] katika [[akili]] na [[uovu]] katika [[utashi]]; [[donda|madonda]] hayo yanatufanya tuzidi kushindwa. “Kwa kuwa ile nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu, kwa maana haitii sheria ya Mungu, wala haiwezi kuitii” ([[Rom]] 8:7).
 
Katika [[tafsiri]] za Biblia kwa [[Kiswahili]] tunakuta msamiati "Tabia ya asili" kwa maana ya [[tabia]] ambayo [[mwanadamu]] amezaliwa nayo kutokana na [[dhambi]]. Ni kwamba [[mwanadamu]] amekuwa na tabia ya kutenda mambo kinyume cha agizo la [[Mungu]]: kila mmoja huzaliwa na hiyo tabia ya [[uovu]].
 
Katika unyonge wetu tutumainie [[huruma ya Mungu]] aliyetutumia [[Mkombozi]] hata “dhambi ilipozidi, neema ikawa kubwa zaidi” (Rom 5:20). Ushindi wake juu ya dhambi umetupatia mema makubwa kuliko tuliyoyapoteza kwa dhambi. “Mungu, kwa kuwa ni mwingi wa rehema, kwa mapenzi yake makuu aliyotupenda; hata wakati ule tulipokuwa wafu kwa ajili ya makosa yetu; alituuhisha pamoja na Kristo; yaani, mmeokolewa kwa neema” ([[Ef]] 2:4-5).
 
{{mbegu-dini}}