Masiya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 9:
 
==Katika Ukristo==
Jina hilo lilitafsiriwa na [[Septuaginta]] kwa [[Kigiriki]] Χριστός (''Khristós'')<ref name="EOC_1">[http://www.etymonline.com/index.php?term=messiah Etymology Online]</ref> nalo lilitumiwa mapema na [[Wakristo]] wa [[lugha]] hiyo kwa [[Yesu]] wa [[Nazareth]] kwa sababu ya kusadiki ndiye [[mkombozi]] aliyetimiza kikamilifu kila [[utabiri]] wa ma[[nabii]] wa [[Agano la Kale]]. Ndiyo sababu jina lake la awali limekuwa linaongezewa kwa kawaida hilo la Kristo, hivi kwamba imezoeleka kumuita [[Yesu Kristo]].
 
Kutokana na umuhimu wa [[imani]] hiyo kwa wafuasi wa Yesu<ref>Tunahitaji kujua “habari za Yesu wa Nazareti, jinsi Mungu alivyomtia mafuta kwa Roho Mtakatifu na nguvu” ([[Mdo]] 10:38).</ref>, wenyewe walianza kuitwa Wakristo huko [[Antiokia]], [[mji]] wa kwanza kuwa na waumini wenye asili ya kimataifa na waliozungumza Kigiriki kuliko [[Wakristo wa Kiyahudi|wale wenye asili ya Kiyahudi]]. Kumbe katika [[mazingira]] ya [[Kisemiti]] wanaendelea kuitwa kama awali ''Manasara'', yaani ''Wanazareti''.
 
==Katika Uislamu==