Al-Shabaab : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|[[Lebo ya Al-Shabaab.]] 275px|thumb|[[Bendera ya Al-Shabaab.]] '''Al-Shabaab''' (kwa Kiarabu...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:ShababLogo.png|thumb|[[Lebo]] ya Al-Shabaab.]]
[[File:AQMI Flag asymmetric.svg|275px|thumb|[[Bendera]] ya Al-Shabaab.]]
'''Al-Shabaab''' (kwa [[Kiarabu]]: '''الشباب''', "Vijana"; kirefu: '''حركة الشباب المجاهدين''', Ḥarakat ash-Shabāb al-Mujāhidīn; [[kifupisho]]: '''HSM'''; kwa [[Kisomali]]: Xarakada Mujaahidiinta Alshabaab; maana yake "Tapo la Vijana wa Jihad") ni kundi la [[Waislamu]] wenye [[itikadi kali]] lililoanzishwa nchini [[Somalia]] [[mwaka]] [[2006]] kutokana na [[Islamic Courts Union]] (ICU)<ref name="Abdisaid2008">Abdisaid M. Ali 2008, [http://www.isn.ethz.ch/pubs/ph/details.cfm?v21=107785&lng=en&ord61=alphanavi&ord60=publicationdate&id=55851 'The Al-Shabaab Al-Mujahidiin: A profile of the first Somali terrorist organisation'], Institut für Strategie Politik Sicherheits und Wirtschaftsberatung (ISPSW), Berlin, Germany, June. Retrieved on August 26, 2008.</ref>.
Line 8 ⟶ 7:
 
Mwaka [[2015]] waliacha [[miji]] yote muhimu na kuendelea kutawala maneno machache ya [[Kijiji|vijijini]] tu.<ref name="Uptpibais">{{cite news|title=UN Points to Progress in Battling Al-Shabab in Somalia |url=http://www.voanews.com/articleprintview/2584631.html|accessdate=4 January 2015|newspaper=VOA|date=3 January 2015}}</ref>
 
Hata hivyo wanaendelea kupigana na wanaotazamwa nao kama maadui wa Uislamu hasa nchini Somalia, Kenya na Yemen.
 
==Tanbihi==