Kupaa Bwana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
[[image:Obereschach_Pfarrkirche_Fresko_Fugel_Christi_Himmelfahrt_crop.jpg|thumb|''Kupaa Kristo'' kadiri ya [[Gebhard Fugel]], [[1893]] hivi.]]
{{Mwaka wa liturujia}}
'''Kupaa Bwana''' ni [[ukumbusho]] wa [[fumbo]] la [[Yesu Kristo]] kupaa katika [[utukufu]] wa [[mbinguni]] akiwa na [[mwili]] wake mzima ambao [[Ijumaa kuu]] [[msalaba wa Yesu|ulisulubiwa]] hata [[kifo cha Yesu|akafa]] [[Mazishi|akazikwa]] kabla [[ufufuko wa Yesu|hajafufuka]] [[siku]] ya [[tatu]] ([[Siku ya Bwana|Jumapili]]) kadiri ya [[imani]] ya [[Ukristo]].
 
==Mafundisho ya imani==
[[Sherehe]] hiyo inaunganisha [[madhehebu]] mengi sana katika kumshangilia [[Yesu]] kufanywa [[Bwana]] wa wote na vyote.
Ni kwamba imani hiyo inafundisha kuwa siku [[arubaini]] baada ya kufufuka, [[Yesu]] alipaa mbinguni mbele ya [[wanafunzi]] wake. Hataonekana tena rasmi mpaka arudi [[Kiyama|siku ya mwisho]]. “Huyu Yesu aliyechukuliwa kutoka kwenu kwenda juu mbinguni, atakuja jinsi iyo hiyo mlivyomwona akienda zake mbinguni” ([[Mdo]] 1:11). “Mkiwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu, Kristo aliko, ameketi mkono wa kuume wa Mungu” ([[Kol]] 3:1).
 
Wakristo wanahusika na kupaa kwake, kwa sababu yeye ni [[kichwa]] chetu nao ni [[viungo]] vya mwili wake: hivyo amewatangulia kwa [[Mungu Baba|Baba]] awaombee [[Roho Mtakatifu]] wakafike kwake. Mwenyewe ameahidi, “Mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo” ([[Yoh]] 14:3). “Ni nani atakayewashitaki wateule wa Mungu? Mungu ndiye mwenye kuwahesabia haki. Ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa; naam, na zaidi ya hayo, amefufuka katika wafu, naye yuko mkono wa kuume wa Mungu; tena ndiye anayetuombea” ([[Rom]] 8:33-34). “Yeye, kwa kuwa akaa milele, anao ukuhani wake usioondoka. Naye, kwa sababu hii, aweza kuwaokoa kabisa wao wamjiao Mungu kwa yeye; maana yu hai sikuzote ili awaombee” ([[Eb]] 7:24-25).
Kwa kawaida [[sikukuu]] hiyo inafanyika siku [[arubaini]] baada ya [[Pasaka ya Kikristo|Jumapili ya Pasaka]] kufuatana na [[hesabu]] ya [[Matendo ya Mitume]] 1:3, ingawa pengine inasogezwa kutoka [[Alhamisi]] hadi [[Jumapili]] ijayo ili kuwawezesha waamini wote kushiriki pale ambapo siku yenyewe ni ya [[kazi]], si [[sikukuu ya taifa]].
 
Hivyo, [[utawala]] wa Yesu umeshaanza nao utakamilika atakaporudi [[Hukumu ya mwisho|kuwahukumu]] wazima na wafu kwa kutenganisha moja kwa moja wema na wabaya. “Maana sharti amiliki yeye, hata awaweke maadui wake wote chini ya miguu yake. Adui wa mwisho atakayebatilishwa ni mauti” ([[1Kor]] 15:25-26). Hapo katikati “watafanya vita na Mwanakondoo, na Mwanakondoo atawashinda, kwa maana Yeye ni Bwana wa Mabwana, na Mfalme wa Wafalme” ([[Ufu]] 17:14).
== Historia ==
 
Utawala wa Yesu umeanza hasa katika [[Kanisa]] lake linalokusanya wale waliomuamini kuwa ni [[Bwana]] [[Wokovu|wakaokolewa]]. [[Mungu]] “alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake” (Kol 1:13). Yesu alisema, “Ufalme wangu sio wa ulimwengu huu… Mimi nimezaliwa kwa ajili ya haya, na kwa ajili ya haya mimi nalikuja ulimwenguni, ili niishuhudie kweli. Kila aliye wa hiyo kweli hunisikia sauti yangu” (Yoh 18:36,37). “Ufalme wa Mungu hauji kwa kuuchunguza” ([[Lk]] 17:20). “Ufalme wa mbinguni umefanana na chachu aliyoitwaa mwanamke, akaisitiri ndani ya pishi tatu za unga, hata ukachachwa wote pia” ([[Math]] 13:33). Baada ya kufufuka, aliwajibu Mitume waliomuuliza kuhusu wakati wa kurudisha ufalme: “Si kazi yenu kujua nyakati wala majira, Baba aliyoyaweka katika mamlaka yake mwenyewe. Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi” (Mdo 1:7-8).
 
== Asili na uenezi wa sherehe ==
[[Adhimisho]] hilo ni la zamani sana. Ingawa hakuna uthibitisho wa [[Maandishi|kimaandishi]] kabla ya mwanzo wa [[karne ya 5]], [[Agostino wa Hippo]] alisema linatokana na [[Mababu wa Kanisa]] wa kwanza, na kwamba linafanyika katika [[Kanisa]] lote tangu [[muda]] mrefu.
 
Kweli linatajwa mara nyingi katika maandishi ya [[Yohane Krisostomo]], [[Gregori wa Nisa]], katika [[Katiba za Mitume]] na mengineyo ya [[Makanisa ya Mashariki]] na [[Kanisa la magharibi]].
 
[[Sherehe]] hiyo inaunganisha [[madhehebu]] mengi sana katika kumshangilia [[Yesu]] kufanywa [[Bwana]] wa wote na vyote.
 
Kwa kawaida [[sikukuu]] hiyo inafanyika siku [[arubaini]] baada ya [[Pasaka ya Kikristo|Jumapili ya Pasaka]] kufuatana na [[hesabu]] ya [[Matendo ya Mitume]] 1:3, ingawa pengine inasogezwa kutoka [[Alhamisi]] hadi [[Jumapili]] ijayo ili kuwawezesha waamini wote kushiriki pale ambapo siku yenyewe ni ya [[kazi]], si [[sikukuu ya taifa]].
 
==Viungo vya nje==