Roho Mtakatifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Roho Mtakatifu''' katika [[mapokeo]] ya [[dini]] ya [[Israeli]], [[Ukristo]] na [[Uislamu]] ni [[roho]] ya [[Mungu]] pekee.
 
Kwa [[madhehebu]] karibu yote ya Kikristo, Roho Mtakatifu ni [[upendo]] wa Mungu, [[nafsi]] ya [[tatu]] ya [[Utatu Mtakatifu]], mwenye Umungu mmoja na [[Mungu Baba|Baba]] na [[Mungu Mwana|Mwana]]. “Pendo la Mungu limekwisha kumiminwa katika mioyo yetu na Roho Mtakatifu tuliyepewa sisi” ([[Rom]] 5:5). Ametumwa kwetu atufanyie [[kazi]] pasipo kuonekana. “Upepo huvuma upendako, na sauti yake waisikia, lakini hujui unakotoka wala unakokwenda; kadhalika na hali yake kila mtu aliyezaliwa kwa Roho” ([[Yoh]] 3:8). “Wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu” (Rom 8:14).
Kwa [[madhehebu]] karibu yote ya Kikristo, Roho Mtakatifu ni [[Nafsi]] ya [[tatu]] ya [[Utatu Mtakatifu]].
 
Hata hivyo, tofauti katika [[teolojia]] ya madhehebu hayo kuhusu Roho Mtakatifu ni kubwa kuliko zile zilizopo kuhusu Nafsi [[mbili]] za kwanza ([[Mungu Baba]] na [[Mungu Mwana]]).
 
Kwa jumla Roho Mtakatifu anasadikiwa kuvuviwa [[milele]] na Baba kwa njia ya Mwana awe [[mwalimu]] wa [[wanadamu]] kwa kuwafundisha, kuwakumbusha na kuwazuia kufanya mambo mabaya au [[dhambi]].
 
[[Kazi]] zote za Roho Mtakatifu zinahusiana na [[Yesu]] na kulenga hasa kuandaa [[watu]] wampokee, wamfuate na kumshuhudia katika [[umoja]] wa kundi lake, [[Kanisa]]. “Ajapo huyo Msaidizi, nitakayewapelekea kutoka kwa Baba, huyo Roho wa kweli atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia. Nanyi pia mnashuhudia” ([[Yoh]] 15:26-27).
 
== Jina ==