Jehanum : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17:
* Mark 9:47: "It is better for you to enter the Kingdom of God with one eye, than having two eyes, to be cast into Gehenna."
* [[Luke 12]]:5: "....fear the One who, after He has killed has authority to cast into Gehenna; yes, I tell you, fear Him."</ref> kudokezea hali iliyo kinyume cha [[uzima wa milele]]<ref name="Blue Letter Bible: Gehenna">[http://cf.blueletterbible.org/lang/lexicon/lexicon.cfm?Strongs=G1067&Version=kjv Blue Letter Bible. "Dictionary and Word Search for geenna (Strong's 1067)".]</ref>.
 
Yesu alizungumzia moto wa milele, huku akitufunulia ukuu wa [[upendo]] wa [[Mungu]], aliye [[heri]] yetu pekee. Alituangalisha juu ya [[hatari]] ya kutengana naye milele kwa [[dhambi]]. Mwenyewe atatoa [[Hukumu ya mwisho|hukumu hiyo]]: “Ondokeni kwangu, mliolaaniwa, mwende katika moto wa milele, aliowekewa tayari Ibilisi na malaika zake” ([[Math]] 25:41). “Humo funza wao hafi, wala moto hauzimiki” ([[Mk]] 9:48). “Na moshi wa maumivu yao hupanda juu hata milele na milele, wala hawana raha mchana wala usiku” ([[Ufu]] 14:11).
 
Katika [[Uislamu]] pia moto wa milele unaitwa جهنم, Jahannam<ref>Richard P. Taylor -''Death and the afterlife: a cultural encyclopedia'' 2000 "JAHANNAM From the Hebrew ge-hinnom, which refers to a valley outside Jerusalem, Jahannam is the Islamic word for hell."</ref>. Kurani inaitaja mara 77 kumbe haitaji kamwe [[kuzimu]] (هيدز).