Tofauti kati ya marekesbisho "Ufufuko"

623 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
Lakini jambo kuu la [[vitabu]] hivyo ni kwamba mwenyewe aliweza kufufuka [[siku]] ya [[tatu]] baada ya [[Kifo cha Yesu|kufa]] [[Msalaba wa Yesu|msalabani]], tena si kwa kurudia [[maisha]] ya [[duniani]], bali kwa kuingia [[uzima wa milele]] akiwa na mwili mtukufu.
 
[[Yesu]] alitabiri kwamba atarudi kutoka huko siku ya mwisho ili afufue wafu wote na [[Hukumu ya mwisho|kuwahukumu]]. “Ndipo watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika wingu pamoja na nguvu na utukufu mwingi” ([[Lk]] 21:27). “Saa yaja ambayo watu wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake. Nao watatoka; wale waliofanya mema kwa ufufuko wa uzima, na waliotenda mabaya kwa ufufuo wa hukumu” ([[Yoh]] 5:28-29). “Na hao watakwenda zao kuingia katika adhabu ya milele; bali wenye haki watakwenda katika uzima wa milele” ([[Math]] 25:46).
 
[[Mwili]] utakaofufuliwa ni huuhuu tulionao sasa, lakini katika hali tofauti, alivyoeleza [[Mtume Paulo]]: “hupandwa katika uharibifu; hufufuliwa katika kutokuharibika” ([[1Kor]] 15:42).
 
[[Uislamu]] pia unafundisha kwamba mwishoni kutakuwa na ufufuo wa wafu wote (Yawm al-Qiyāmah, kwa [[Kiarabu]]: يوم القيامة‎‎). Siku hiyo imepangwa na Mungu lakini haijafunuliwa kwa binadamu.