Afro-Shirazi Party : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Katika uchaguzi kabla ya uhuru mwaka 1963 ASP ilipata asilimia 54.2 za kura lakini kutokana na mfumo wa uchaguzi haikupata wabunge wengi hivyo serikali ya kwanza baada ya ukoloni ilianzishwa na vyama vya ZNP na ZPFP.
 
Katika Januari wa 1964 kikundi cha wana ASP wenye silaha kilichoongozwa na [[John OkellaOkello]] ilipindua serikali ya [[Sultani wa Zanzibar]] pamoja na kuua wakazi wengi Waarabu na Wahindi na kuunda serikali ya kimapinduzi chini ya urais wa [[Abeid Karume]].
 
Mwaka wa [[1977]], ASP ilijiunga na [[TANU]] kuwa [[Chama cha Mapinduzi]].