Afro-Shirazi Party : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Afro-Shirazi Party''' (kifupisho: ASP) ilikuwakilikuwa chama cha siasa cha [[Zanzibar]]. IlianzishwaKilianzishwa mwaka 1957 kwa maunganomuungano kati ya Shirika la Washirazi (Shirazi Association) na Shirika la Waafrika (African Association). Shirika la Shirazi (lililoanzishwa 1939) lilikuwa maunganomuungano wa Waafrika wazalendo wa Unguja na Pemba, Shirika la Waafrika (lililoanzishwa 1934) maunganomuungano yawa Waafrika wenye asili ya bara, pamoja na asili kati ya familia za watumwa wa awali kutoka bara na wafanyakazi waliokuwa walihamia katika karne ya 20.
 
Chama kilikuwa na wafuasi wengi kisiwani Unguja, ilhali sehemu ya Washirazi wa Pemba walipigia kura vyama vingine.