Tanakali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Clocks no tic tac.JPG|thumb|upright=1.4|[[Bango]] linalotangaza kwamba hizi [[saa]] hazitoi sauti "tic tac" kama zile za kawaida.]]
'''Tanakali''' au '''tanakalisauti''' au '''mwigo sauti''' (kwa [[Kiingereza]] "onomatopeia", kutoka [[Kigiriki]] ὀνοματοποιία; ambapo ὄνομα maana yake ni "jina" na ποιέω ni "nafanya") ni [[tamathali]] ya [[usemi]] ambayo hutumika kuigiza [[sauti]] au [[mlio]] wa [[kitu]] katika [[mazungumzo]] au [[maandishi]] na hivyo kufanya [[simulizi]] liwe hai zaidi.
 
Tanakali inasaidia kuinua [[sentensi]] hadi hadhi ya [[sanaa]].